Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ina maana ingekuwa ni ndege ya ATCL kungekuwa hakuna fidia kwasababu ni ya serikali.?Nataka kujua kwanza kwani wanaolipa fidia ni serikali? Ajali ya ndege imetokea ila ni kampuni ya serikali? Au sijaelewa
Unakurupuka sana, mleta mada anaongelea malipo ya bima. Iwe chombo binafsi au cha serikali vyote hukatiwa bimaNataka kujua kwanza kwani wanaolipa fidia ni serikali? Ajali ya ndege imetokea ila ni kampuni ya serikali? Au sijaelewa
Sijakurupuka sasa hajaeleza specific ndio maana nikamuuliza afafanue. Rudi uangalie nilichoulizaUnakurupuka sana, mleta mada anaongelea malipo ya bima. Iwe chombo binafsi au cha serikali vyote hukatiwa bima
Demi I just asked a question, who is supposed to pay please stop jumping on me so hard😬Ina maana ingekuwa ni ndege ya ATCL kungekuwa hakuna fidia kwasababu ni ya serikali.?
Anataka kujua kama abiria wa ajali ya treni walilipwa fidia?
Mi naongezea na wale wa Meli zanzibar na MV bukoba ilikuaje?
Magari ya serikali ie STK na vyombo vya ulinzi mf JW hayana bimaUnakurupuka sana, mleta mada anaongelea malipo ya bima. Iwe chombo binafsi au cha serikali vyote hukatiwa bima
Hayana Bima ndio, lakini kuna utaratibu maalum wa kufuata linaposababisha hasara kwa maisha au mali, fungu hutoka hazina.magari ya serikali ie STK na vyombo vya ulinzi mf JW hayana bima
Ishu ni kwamba hayana bima na sivyo alphonce.NET alivyokoment kwenye post #4.Hayana Bima ndio, lakini kuna utaratibu maalum wa kufuata linaposababisha hasara kwa maisha au mali, fungu hutoka hazina.
Huwezi kulipwa kama huja-claim.Pamoja na, utaratibu huo kuwepo sijawahi kusikia mfanyakazi wa serikali, au abiria aliyepata ajali kwenye gari ya serikali, amelipwa kama fidia kwa utaratibu huo
Nisamehe kama nimeshout mkuu😅Demi I just asked a question, who is supposed to pay please stop jumping on me so hard😬
Hii ni elimu mpya kwetu.
mbona kwenye ajali za ndege watu wanalipwa bila hata kuclaim?Huwezi kulipwa kama huja-claim.
Treni ni za serikali, serikali ililifilisi shirika lake la bima likabaki kama Kinyago, Magufuli akalipa mtaji.Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
Vyombo vyote vinavyosafirisha abiria vinatakiwa kukata bima, vya serikali na vya watu binafsi. Juzi nimesikia ATCL wanalipa 5m dollars kama bima. Ninauliza kama treni hizi za serikali zinalipiwa bima na iwapo wale wahanga wa ajali ya treni ya Dodoma wanastahili kulipwa fidia?Nataka kujua kwanza kwani wanaolipa fidia ni serikali? Ajali ya ndege imetokea ila ni kampuni ya serikali? Au sijaelewa
Ahsante kwa kuongezea hapo.Ina maana ingekuwa ni ndege ya ATCL kungekuwa hakuna fidia kwasababu ni ya serikali.?
Anataka kujua kama abiria wa ajali ya treni walilipwa fidia?
Mi naongezea na wale wa Meli zanzibar na MV bukoba ilikuaje?
Usikute wanadhani pesa za bima ni za kutafuna. Watu bwana. Treni za serikali kama hazina bima zisiruhusiwe kubeba abiria.Treni ni za serikali, serikali ililifilisi shirika lake la bima likabaki kama Kinyago, Magufuli akalipa mtaji.
Hadi leo nashangaa kwanini magari ya serikali hayakatiwi bima
Hakuna anayelipwa bila ku-claim.mbona kwenye ajali za ndege watu wanalipwa bila hata kuclaim?
Kabisa lakimo SU na SM yana Bima.Magari ya serikali ie STK na vyombo vya ulinzi mf JW hayana bima