Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
kila mtu ashinde mechi zake...acha kumpangia mtu kazi ya kufanya, jitolee wewe hayo unayotamani Pasco awe ameyafanya.uandishi Wako kila siku ni siasa tu ,kuna mambo mengi sana katika nchi yanatakiwa kusemewa!!
Je umewahi kujua waastafu wa URAFIKI na TZR wana miaka mingapi hawajalipwa mafao yao, nini kwanini kwenye mambo ya wananchi mnakuwa Nyuma?
Je umewahi kujua hali za shule za kata katika mikoa mbalimbali? Maana katika nchi hii kuna shule zaidi 389 hawana maabara?
Je umewahi kujua kile kiasi cha pesa (Trillion 1.5) nilikuwaje?
Je umewahi kujua Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma hawana maji kwa miaka 50 sasa.
Jamani taaluma zenu tumieni vizuri
Mr mkiki
uandishi Wako kila siku ni siasa tu ,kuna mambo mengi sana katika nchi yanatakiwa kusemewa!!
Je umewahi kujua waastafu wa URAFIKI na TZR wana miaka mingapi hawajalipwa mafao yao, nini kwanini kwenye mambo ya wananchi mnakuwa Nyuma?
Je umewahi kujua hali za shule za kata katika mikoa mbalimbali? Maana katika nchi hii kuna shule zaidi 389 hawana maabara?
Je umewahi kujua kile kiasi cha pesa (Trillion 1.5) nilikuwaje?
Je umewahi kujua Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma hawana maji kwa miaka 50 sasa.
Jamani taaluma zenu tumieni vizuri
Mr mkiki
Kada wa CCM aliyechinjwa na wajumbe.Wanabodi .
Baada ya kustaafu rasmi uandishi wa habari, sasa mimi nimekuwa ni Mwalimu wa kupika vijana.
Karibu.
P