Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Mwanzoni nilijua jina lake ni Le Mutuz, kumbe ni jina la Blog yake.
Apumzike kwa amani mdau mwenzetu.
Apumzike kwa amani mdau mwenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siunajua kik tena za huyu mzee wa kutoka magorofani drive inUmeeleza mengi mazuri (hasa namba za rambirambi) lakini kwa kiasi kikubwa umejifagilia wewe binafsi , ila siyo kesi .
RIP Le Mutuz Nation , Nye nye nyeeee !!
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Si ndiyo hapoMtoto wa waziri Mkuu mstaafu anachangiwa huku kuna wanjf kibao hawana hata pesa ya chakula wanakuja humu kuomba misaada wanaambulia matusi tu ,
Paschal hai double standard mpaka lini kama vipi wote wachangiwe
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafrika mtu akifa unafiki mwingi sanaPascal haya maneno no yako kweli!!!!![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
(Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza,
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa.
Jina lake Lihimidiwe)
......................................................
NI AFRIKA PEKEE MAREHEMU HUSINGIZIWA MAZURI YOTE.
Poleni wafiwa Mungu awafariji
Mrangi hapa brother P kazinguaSi ndiyo hapo
Bilionea achangiwe tena
Ova
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela, "Le Mutuz "
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View.
Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa Familia, ya William Malecela, Le Mutuz, ambaye ni Kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano. amesema Mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa Nyumbani Sea View na Ibada Fupi ya Kifamilia.
Saa 3:00 asubuhi Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
Saa 4:00 - Saa 6:00 ni shughuli za kuaga hapo Karimjee
Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
Mwili Utawasili Dodoma Saa 11:00 jioni
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
My Take. My Tribute
Huu ndio msiba mkubwa wa pili kwa mwana JF maarufu baada ya Regia Mtema.
Kwasababu msiba wa Regia, wana JF, tulijitoa na kujitokeza, natoa wito kwa wana JF, kesho tujitokeze kwa wingi Karimjee.
Wenye kuweza kumsindikiza Dodoma, tumsindikize. Wana JF wa Dodoma, mtuwakilishe Mvumi Dodoma siku ya mazishi, na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
My Personal Tribute to Le Mutuz.
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Oyster Bay na watoto wote wa Mzee Malecela.
Nilikuwa darasa moja na Jaji Mwendwa Malecela.
Rais Mwinyi alitutangulia madarasa mawili, alikuwa darasa moja na Dr. Seche Malecela.
Nikiwa O LevelTambaza Senyagwa alikuwa A level PCM, alipomaliza na kupiga DIV 1 ya point 3 na kujoin UDSM, Dr. Husein Mwinyi na Seche, Mh.Silvester Koka walijiunga Tambaza PCB.
Ni mpaka nilipokwenda jijini New York, nchini Marekani kwenye ubalozi wetu UN pale New York, ndipo nikatambulishwa kwa shemeji yetu Mke wa Le Mutuz, ndipo nikamfahamu William.
Tukaja kukutana tena JF. alipokuja kugombea ubunge wa Bunge la Africa Mashariki, akanitafuta, nikampa support.
From there tukawa marafiki, kama vilivyo vikombe kabatini kuna wakati tukapishana kauli, akanifungia madirisha.
Tukaja kupatanishwa na mwana JF Sactus Mtsimbe, kuna wakati alituhifadhi mimi na Le Mutuz pale ofisini kwake, Tancot House hivyo tukapatana.
Ni Le Mutuz ndie aliyenitambulisha mimi kwenye YouTube channel, na video hii ya Le Mutuz,
ndio video yangu ya kwanza YouTube, ingekuwa video ni Mwanamke, tungesema ni video ya Le Mutuz ndio imeib...ri YouTube Channel yangu!. Thanks for that.
Mara ya mwisho kuonana na Le Mutuz ni kwenye msiba wa Baghdellan pale Magomeni mwaka jana.
Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani, nilipategemea kufurika ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia.
Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza,
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa.
Jina lake Lihimidiwe
Buriani ya Kuonana.
Paskali

Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani, nilipategemea kufurika ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia

Nadhani ni ushamba wa asili , kuna wakati nilipata tenda ya kupeleka nyama ya ng'ombe tani nyingi CANADA , sasa waliokuwa wananiuzia ng'ombe walikuwa ndugu wa Pascal , changamoto ilikuwa ukiwapeleka hotel kubwa kwa ajili ya malipo yao au mipango mingine , wanaagiza kreti nyingi za bia na wanataka ziletwe zote mezani !Siunajua kik tena za huyu mzee wa kutoka magorofani drive in
Mara sijui nlisoma na mtoto wa mwinyi,sijui alipiga div 1 nani [emoji1]
Ova
Yaani bandiko mambo mengi hata hayahusiani na msiba.
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela, "Le Mutuz "
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View.
Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa Familia, ya William Malecela, Le Mutuz, ambaye ni Kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano. amesema Mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa Nyumbani Sea View na Ibada Fupi ya Kifamilia.
Saa 3:00 asubuhi Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
Saa 4:00 - Saa 6:00 ni shughuli za kuaga hapo Karimjee
Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
Mwili Utawasili Dodoma Saa 11:00 jioni
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
Naomba ukisha tuma ututumie jina lako na message au tupigie tuconfirm.