Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

Umeeleza mengi mazuri (hasa namba za rambirambi) lakini kwa kiasi kikubwa umejifagilia wewe binafsi , ila siyo kesi .

RIP Le Mutuz Nation , Nye nye nyeeee !!

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Siunajua kik tena za huyu mzee wa kutoka magorofani drive in
Mara sijui nlisoma na mtoto wa mwinyi,sijui alipiga div 1 nani [emoji1]

Ova
 
Wafrika mtu akifa unafiki mwingi sana

Ova
 
Misiba imeingiliana leo watu walikuwa kwa membe, lemutz ni mtu wa watu lazima kesho watu wajitokeze kumuaga.

Mabebe zake kutoka Africa mashariki na kati wote kesho watakuwepo.

Rip the king of all social media in tz, American spirit, free education , akili kubwa, you know, boma yeeee!
 
Loh poleni sana wana JF wote mlioguswa na msiba huu mzito

Kuna minong'ono kuwa simba karudi mjini hivyo watu wanaanza kuogopa kutoka toka nje.

Tushiriki msiba huu wa mwenzetu kwa hali na mali

Mungu ampokee mja wake
 
Rambi rambi za nini ?mtu alikuwa anashinda 5 star hotels .
 
Siunajua kik tena za huyu mzee wa kutoka magorofani drive in
Mara sijui nlisoma na mtoto wa mwinyi,sijui alipiga div 1 nani [emoji1]

Ova
Nadhani ni ushamba wa asili , kuna wakati nilipata tenda ya kupeleka nyama ya ng'ombe tani nyingi CANADA , sasa waliokuwa wananiuzia ng'ombe walikuwa ndugu wa Pascal , changamoto ilikuwa ukiwapeleka hotel kubwa kwa ajili ya malipo yao au mipango mingine , wanaagiza kreti nyingi za bia na wanataka ziletwe zote mezani !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kukutana nae makongo juu kwenye msiba wa bikira wa kisukuma,Noah yake ikapata pancha nikamsaidia kubadili tairi akanitoa elfu kumi,jamaa ameniuma sana,alikuwa mtu poa,endekea kutupa update wengine tuko Rondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…