Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

Mabebez hawanaga habari za misiba labda mazishi yafanyikie Five Star Hotel.... hao viumbe wako kwa ajili ya kutafuna hela za mtu sio mambo ya msiba wala matatizo mengine.
 
Niliwahi kukutana nae makongo juu kwenye msiba wa bikira wa kisukuma,Noah yake ikapata pancha nikamsaidia kubadili tairi akanitoa elfu kumi,jamaa ameniuma sana,alikuwa mtu poa,endekea kutupa update wengine tuko Rondo
Aisee msiba wa bikira wa kisukuma uliniuma sana. Yule kijana aliondoka mapema wakati ndo anaanza kuinuka.
 
R.I.P TAKEOFF,Your the ghostride te te te takeoff..
 
You need to live ur life I'm not sure if Lemutuz did anything wrong

Watu mnapend kufatilia maisha ya watu haifai.
 
Tusindikize na old school music basi Belinda! Old is Gold
My Way - Frank Sinatra


And now the end is here
And so I face that final curtain
My friend I'll make it clear
I'll state my case, of which I'm certain
I've lived a life that's full
I traveled each and every highway
And more, much more
I did it, I did it my way

Regrets, I've had a few
But then again too few to mention
I did what I had to do
I saw it through without exemption
I planned each charted course
Each careful step along the byway
And more, much, much more
I did it, I did it my way

Yes, there were times I'm sure you knew
When I bit off more than I could chew
But through it all, when there was doubt
I ate it up and spit it out
I faced it all and I stood tall and did it my way

I've loved, I've laughed, and cried
I've had my fill, my share of losing
And now, as tears subside
I find it all so amusing
To think I did all that
And may I say, not in a shy way
"Oh no, oh no, not me
I did it my way

For what is a man, what has he got?
If not himself then he has naught
Not to say the things that he truly feels
And not the words of someone who kneels
Let the record shows I took all the blows and did it my way
 
Mabebez hawanaga habari za misiba labda mazishi yafanyikie Five Star Hotel.... hao viumbe wako kwa ajili ya kutafuna hela za mtu sio mambo ya msiba wala matatizo mengine.
Lakini hatokosa mmoja hata wa kwenda dodoma kwenye mazishi. Aliwapa good time. Mimi nasubiri yule wa rwanda kama atakuja.
 
Appreciated! Belinda.! Thanks
 
NYE NYE NYEE!
 
Mtoto wa waziri Mkuu mstaafu anachangiwa huku kuna wanjf kibao hawana hata pesa ya chakula wanakuja humu kuomba misaada wanaambulia matusi tu.

Paschal hii double standard mpaka lini kama vipi wote wachangiwe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na wao wamekufa? Mayalla hajasema tumchangie le mutuz,kasema tuchangie msiba wa lemutuz.
 
Mkuu Balantanda upo?
RIP kwa ndugu yetu William Malecela.

Nilipotea JF kwa muda mrefu ila kwa heshima ya William Malecela leo nimerejea. Poleni sana wote.
Nipo brother…

Mimi huwa naingia kwa kuibiaibia tu…

Pole pia kwa kumpoteza legend mwenzetu wa JF…Ni pigo kubwa sana hili kwa JF na Taifa…
 


Kuna Mzee mmoja mwanawe wa kiume alikua mwizi, Jambazi na ukorofi wa Kila aina...siku amefariki, watu wakaanza unafikiri wao oooh he was a good guy na mapambo mengi ya kinafiki, hapo Mzee wa yule kijana akaona sasa hii sio sawa. Akakatusha aliyekua anaongea, akasema heee! Why are you trying to pretend as if he was a good guy, we all know he was a thief, why don't you tell people the truth and they should learn that when you are a monster, you will go with it to your grave. Stop wasting our time here. Let the people know that he was a bad guy and burry him.

Huyo ni baba mzazi wa mtoto.
 
Bongo unafiki mwingi, machoni utasifiwa, ukiondoka unasemwa vibaya balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…