The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Rest easy legendary.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hapo kwenye uzi mwanzoni.Rambi rambi anakabidhiwa nani?
Wakati anatumia Hilo jina la Field Marshal ES alikuwa anakata ishu kweli kweli.R.I.P Mzee ES….Field Marshal ES…FMES
Mzee wa SAUTI YA UMEME…
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View. Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Le Mutuz ambaye ni kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano, amesema mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa nyumbani Sea View kwa Ibada Fupi ya Kifamilia.
* Saa 3:00 asubuhi - Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
* Saa 4:00 - Saa 6:00 - Shughuli za kuaga hapo Karimjee
* Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
* Saa 11:00 jioni - Mwili Utawasili Dodoma
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
My Take. My Tribute
Huu ndio msiba mkubwa wa pili kwa mwana JF maarufu baada ya Regia Mtema.
Kwasababu msiba wa Regia, wana JF, tulijitoa na kujitokeza, natoa wito kwa wana JF, kesho tujitokeze kwa wingi Karimjee.
Wenye kuweza kumsindikiza Dodoma, tumsindikize. Wana JF wa Dodoma, mtuwakilishe Mvumi Dodoma siku ya mazishi, na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
My Personal Tribute to Le Mutuz:
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Oyster Bay na watoto wote wa Mzee Malecela. Nilikuwa darasa moja na Jaji Mwendwa Malecela. Rais Hussein Mwinyi alitutangulia madarasa mawili, alikuwa darasa moja na Dr. Seche Malecela.
Nikiwa O Level Tambaza, Senyagwa alikuwa A level PCM, alipomaliza na kupiga DIV 1 ya point 3 na kujoin UDSM, Dr. Hussein Mwinyi na Seche, Mh. Silvester Koka walijiunga Tambaza PCB. Ni shule hii ya Tambaza kule juu summit, ndiko mimi niliko jifunzia kufanya mambo fulani, si unajua tena foolish age!.
Nikaja kuwa MC wa harusi ya dada yake, mmoja wa ma binti wa Malecela na mpaka leo, mpaka kesho from time to time na m visit Jaji Mwendwa..
Ni mpaka nilipokwenda jijini New York, nchini Marekani kwenye Ubalozi wetu UN pale New York, ndipo nikatambulishwa kwa shemeji yetu Mke wa Le Mutuz, ndipo nikamfahamu William.
Tukaja kukutana tena JF alipokuja kugombea ubunge wa Bunge la Africa Mashariki, akanitafuta, nikampa support
Kuna wakati nikiwa Dodoma akanikaribisha home kwa Dingi pale Dom, kisha tuka drive all the way from Dom to Dar so we got to know better, ndipo nikajua kumbe jamaa, don't drink!, don't smoke, just chilling tuu and have good time!.
From there tukawa marafiki, kama vilivyo vikombe kabatini kuna wakati tukapishana kauli, akanifungia madirisha!. Alikuwa mwepesi kukasirika, hachelewi kukiwasha ila pia mwepesi kusamehe!.
Tukaja kupatanishwa na mwana JF Sactus Mtsimbe, kuna wakati alituhifadhi mimi na Le Mutuz pale ofisini kwake, Tancot House hivyo tukapatana.
Ni Le Mutuz ndie aliyenitambulisha mimi kwenye YouTube channel, na video hii ya Le Mutuz ndio video yangu ya kwanza YouTube.
Ingekuwa video ni Mwanamke, tungesema ni video ya Le Mutuz ndio imeizindua YouTube Channel yangu. Thanks for that.
Na baada ya hapo akanipa bonge la shavu LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
Mara ya mwisho kuonana na Le Mutuz ni kwenye msiba wa Baghdellan pale Magomeni mwaka jana, alikuja na chuma fulani kikali sana na Davis Mosha!.
Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani. Nilipategemea kukuta watu kufurika wakiwamo ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia.
Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza.
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.
Buriani ya Kuonana.
Paskali
Baadhi ya mabandiko yangu na mwamba huyu
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. mode, ikikupendeza, lifugue bandiko hili kumuaga!.
- TBC: Mtaalamu wa meli, William Malecela atoa maoni yake ya kitaalam kuhusu usalama melini
- LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
- William Malecela: Watoto wa viongozi na uongozi wa taifa letu!
- Nini kinamsibu William John Malecela?
- Mzee John Malecela atua Jijini Dar kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye
So umefunguliwa ban yako naona uko kwa hewa na 20/5/2023 haijafikaWana JF,
Kwanza tuendelee kupeana pole kwa kifo cha member mwenzetu William Malecela, Le Mutuz.
Kila mtu yuko huru kumlilia kwa namna yoyote kutegemeana na alivyoguswa.
Msiba wa Regia, JF ili organize watu tukapiga sare, na wengine wetu tukachoma wese hadi kuzika kule deep interior na kuuguza some 6-Figure!.
Baada ya msiba vikafuata vikao, tukaazimia kumfanyia compilation ya michango yake JF na kumtolea kitabu!.
Japo umoja ni nguvu, lakini nimekuja kugundua, kama una wazo na unataka li materialize, just do it peke yako usishirikishe watu!.
Jana baada ya kupokea taarifa ya msiba, baada ya kumaliza kwa Membe, nilitia timu nyumbani kwa Le Mutuz, Sea View.
Nikapandisha bandiko hili Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu
Nikaamua namna yangu ya kumlilia Le Mutuz, ni kutembelea mabadiliko yake yote humu JF, toka ile 2006, kwanza kwa kuyakongolea like, kisha kumuaga kwa kuyafukua.
Mara naona nimepiga stop kwa ujumbe huu ,"You have been banned from forum "Jukwaa la Siasa" until May 20, 2023 at 4:14 PM for the following reason: SPAM"
Acheni tumlilie member wetu, it's not a small job kusoma mabandiko yote ya mtu, ku like na kumuaga!.
Nimefanikiwa kumuaga toka 2023 kurudi nyuma hadi 2007 ndipo nikapigwa stop.
Nimebakiza mwaka mmoja tuu, 2006!.
Ninachokifanya ni kitu kizuri sana kwa new comers wa JF ambao hawakumjua Le Mutuz and what he stands for.
Nawaomba mniache nimalizie!.
Paskali
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View. Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Le Mutuz ambaye ni kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano, amesema mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa nyumbani Sea View kwa Ibada Fupi ya Kifamilia.
* Saa 3:00 asubuhi - Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
* Saa 4:00 - Saa 6:00 - Shughuli za kuaga hapo Karimjee
* Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
* Saa 11:00 jioni - Mwili Utawasili Dodoma
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
My Take. My Tribute
Huu ndio msiba mkubwa wa pili kwa mwana JF maarufu baada ya Regia Mtema.
Kwasababu msiba wa Regia, wana JF, tulijitoa na kujitokeza, natoa wito kwa wana JF, kesho tujitokeze kwa wingi Karimjee.
Wenye kuweza kumsindikiza Dodoma, tumsindikize. Wana JF wa Dodoma, mtuwakilishe Mvumi Dodoma siku ya mazishi, na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
My Personal Tribute to Le Mutuz:
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Oyster Bay na watoto wote wa Mzee Malecela. Nilikuwa darasa moja na Jaji Mwendwa Malecela. Rais Hussein Mwinyi alitutangulia madarasa mawili, alikuwa darasa moja na Dr. Seche Malecela.
Nikiwa O Level Tambaza, Senyagwa alikuwa A level PCM, alipomaliza na kupiga DIV 1 ya point 3 na kujoin UDSM, Dr. Hussein Mwinyi na Seche, Mh. Silvester Koka walijiunga Tambaza PCB. Ni shule hii ya Tambaza kule juu summit, ndiko mimi niliko jifunzia kufanya mambo fulani, si unajua tena foolish age!.
Nikaja kuwa MC wa harusi ya dada yake, mmoja wa ma binti wa Malecela na mpaka leo, mpaka kesho from time to time na m visit Jaji Mwendwa..
Ni mpaka nilipokwenda jijini New York, nchini Marekani kwenye Ubalozi wetu UN pale New York, ndipo nikatambulishwa kwa shemeji yetu Mke wa Le Mutuz, ndipo nikamfahamu William.
Tukaja kukutana tena JF alipokuja kugombea ubunge wa Bunge la Africa Mashariki, akanitafuta, nikampa support
Kuna wakati nikiwa Dodoma akanikaribisha home kwa Dingi pale Dom, kisha tuka drive all the way from Dom to Dar so we got to know better, ndipo nikajua kumbe jamaa, don't drink!, don't smoke, just chilling tuu and have good time!.
From there tukawa marafiki, kama vilivyo vikombe kabatini kuna wakati tukapishana kauli, akanifungia madirisha!. Alikuwa mwepesi kukasirika, hachelewi kukiwasha ila pia mwepesi kusamehe!.
Tukaja kupatanishwa na mwana JF Sactus Mtsimbe, kuna wakati alituhifadhi mimi na Le Mutuz pale ofisini kwake, Tancot House hivyo tukapatana.
Ni Le Mutuz ndie aliyenitambulisha mimi kwenye YouTube channel, na video hii ya Le Mutuz ndio video yangu ya kwanza YouTube.
Ingekuwa video ni Mwanamke, tungesema ni video ya Le Mutuz ndio imeizindua YouTube Channel yangu. Thanks for that.
Na baada ya hapo akanipa bonge la shavu LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
Mara ya mwisho kuonana na Le Mutuz ni kwenye msiba wa Baghdellan pale Magomeni mwaka jana, alikuja na chuma fulani kikali sana na Davis Mosha!.
Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani. Nilipategemea kukuta watu kufurika wakiwamo ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia.
Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza.
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.
Buriani ya Kuonana.
Paskali
Baadhi ya mabandiko yangu na mwamba huyu
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. mode, ikikupendeza, lifugue bandiko hili kumuaga!.
- TBC: Mtaalamu wa meli, William Malecela atoa maoni yake ya kitaalam kuhusu usalama melini
- LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
- William Malecela: Watoto wa viongozi na uongozi wa taifa letu!
- Nini kinamsibu William John Malecela?
- Mzee John Malecela atua Jijini Dar kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye
Hat mm alinilima blokuAlipenda sana kusifiwa. Ukicomment asivyuopenda unakula Block
Ndugu umemaliza kila kitu. Agiza kitimoto rost na ndizi mbili utajilipia mwenyewe.Mwanzo nilimuona ni mtu wa maana, baadae maisha yake ya kwenye mitandao yakanifanya nimdharau, nimpuuze na kumuona mtu wa hovyo. Kumbe sikuwa sahihi
Nilipoongezeka hekima kidogo nikaanza kuelewa kuwa changamoto na mapito ya maisha yanaweza kukuvuruga na ukawa au ukaonekana mtu wa hovyo. Kila mtu ana namna yake ya kukabiliana nazo na kila mmoja ana namna anavyoathiriwa nazo.
Wengine huhitaji watu wakuwasaidia kuvuka, wengine huweza kuvuka wenyewe, wengine huzama mazima.
Mfano; umeachwa na mwenza mkiwa ughaibuni. Anaunda timu kukuchafua na kuwajenga watoto wakuchukie.
Unaamua kurudisha majeshi nyuma kwa kurudi nchini kwako huku mifuko imechacha, hapo una stress na depression. Unakuta watu wa rika lako au wadogo kuliko wewe tayari wana maisha. Kumbuka umetoka majuu, jamii yako inategemea kuwa umerudi na mafanikio, kwa kuwa ni kinyume chake unahisi wata/wanakudharau. Hujui uanzie wapi na stress zako. Unaingia kwenye denial.
Mungu anakusaidia unapata riziki za hapa na pale ila depression inakutuma ufanye maonesho na maigizo ya maisha mazuri pia ukomae na bebez kwa kuwala au kupiga nao picha tu na kusambaza ili tu kumlingishia mtaraka wako kuwa kakuacha ila mademu wanakukubali na unakula bata na wewe ni maarufu. Pia kuwasuta wote wanaohisi huna lolote.
Kumbe unazidi kuharibu. Watu wa maana wa rika lako wanakuona hufai na wanaanza kukuepuka, huku wale wadogo wanakuona mtu mzima hovyo. Umri unaenda, na stress zinazidi. Hapo huamini tena katika mahusiano, ndoa wala familia. Unaona wakati umeenda na kila kitu kimeshavurugika.
Maisha yana mambo mengi. Unaweza kuwa mtu mwema tu ila familia, mwenza, kazi, misukosuko vikakuvuruga na kukutoa kwenye reli. Usipopata msaada wa kupokea hali na kuanza upya unaweza dhani unayajenga, kumbe ndio unaharibu na kuongeza stress zaidi.
R.I.P William

Ulipotea sana rafiki...Watu wa Jambo forum tukamzike mwenzetu....RIEP Field Marshal ES...FMESR.I.P Mzee ES….Field Marshal ES…FMES
Mzee wa SAUTI YA UMEME…
I feel his pain...RIEP William, ulikuwa mtu mwema sana. Ulisaidia wengi lakini wachache wanajua mateso uliyopitia...Pumzika kwa amani!Mwanzo nilimuona ni mtu wa maana, baadae maisha yake ya kwenye mitandao yakanifanya nimdharau, nimpuuze na kumuona mtu wa hovyo. Kumbe sikuwa sahihi
Nilipoongezeka hekima kidogo nikaanza kuelewa kuwa changamoto na mapito ya maisha yanaweza kukuvuruga na ukawa au ukaonekana mtu wa hovyo. Kila mtu ana namna yake ya kukabiliana nazo na kila mmoja ana namna anavyoathiriwa nazo.
Wengine huhitaji watu wakuwasaidia kuvuka, wengine huweza kuvuka wenyewe, wengine huzama mazima.
Mfano; umeachwa na mwenza mkiwa ughaibuni. Anaunda timu kukuchafua na kuwajenga watoto wakuchukie.
Unaamua kurudisha majeshi nyuma kwa kurudi nchini kwako huku mifuko imechacha, hapo una stress na depression. Unakuta watu wa rika lako au wadogo kuliko wewe tayari wana maisha. Kumbuka umetoka majuu, jamii yako inategemea kuwa umerudi na mafanikio, kwa kuwa ni kinyume chake unahisi wata/wanakudharau. Hujui uanzie wapi na stress zako. Unaingia kwenye denial.
Mungu anakusaidia unapata riziki za hapa na pale ila depression inakutuma ufanye maonesho na maigizo ya maisha mazuri pia ukomae na bebez kwa kuwala au kupiga nao picha tu na kusambaza ili tu kumlingishia mtaraka wako kuwa kakuacha ila mademu wanakukubali na unakula bata na wewe ni maarufu. Pia kuwasuta wote wanaohisi huna lolote.
Kumbe unazidi kuharibu. Watu wa maana wa rika lako wanakuona hufai na wanaanza kukuepuka, huku wale wadogo wanakuona mtu mzima hovyo. Umri unaenda, na stress zinazidi. Hapo huamini tena katika mahusiano, ndoa wala familia. Unaona wakati umeenda na kila kitu kimeshavurugika.
Maisha yana mambo mengi. Unaweza kuwa mtu mwema tu ila familia, mwenza, kazi, misukosuko vikakuvuruga na kukutoa kwenye reli. Usipopata msaada wa kupokea hali na kuanza upya unaweza dhani unayajenga, kumbe ndio unaharibu na kuongeza stress zaidi.
R.I.P William
Hukumu ni ya Mungu, atamhukumu sawasawa na matendo yake, itoshe kusema nadhani humfahamu vizuri na kwa ukaribu...Vita gani vitakatifu bwana.