Tribute to our father: Tuambizane jinsi baba zetu wamepambana hadi kua role model wetu.

Tribute to our father: Tuambizane jinsi baba zetu wamepambana hadi kua role model wetu.

Baba waheshimike kwakweli. Sina zaidi ya hilo maana huwezi kuhesabu mazuri yao kama mtoto ulitepita mikononi mwao.
 
Mzee wangu ni a failed father. Sina lolote la kumsifia
 
Mzee wangu ni a failed father. Sina lolote la kumsifia
Duh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?
 
Duh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?
'Failed father' imebeba mengine mazito ambayo, mtu mwingine hapendi kusimulia kisanga kizima.

Kwa mfano waliozaa wakatekekeza watoto wao nao wanastahili sifa?

Mtoto anapokua na kujitambua, utamlazimisha amshukuru huyo sperm donor?

Wanaume wengine ni dhaifu sana kwenye malezi, siyo kila father anastahili pongezi.
 
Hard Worker. Anafanya kila linawezekana watoto tule, tunywe, tulale, tuvae vizuri na tusome. Vile atapambana awezavyo tusikose mahitaji hayo.
Dad is my super hero in this world.
 
My father has done a lot, took me every/any where inside and outside Tanzania...

So do i will do when i start a family...

Cc: mahondaw
 
Duh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?
Mimi wanangu hawawezi niita failed father, hata nikifa hawajaniona. Mzee sitaki kujua kilichomkuta lakini anajifanya haoni jukumu lake kwangu. Namwambia hivi afanye matumizi yake kwa starehe na raha zake, badae tusisumbuane. Kila mtu avune alichopanda.....kuna wanaume wanapanda maharage wanataka wavune vanilla wakati bei ya maharage 2,000 na bei ya vanilla 50, 000-100,000 kulingana na msimu
 
Nampenda sana yule mwanaume jamani, na ananipenda mno sababu amenionyesha, My father is my heaven on earth, my super hero, my true love, my everyday reason to carry on..!!

Mwanaume pekee aliyenionesha nini maana ya upendo wa dhati, yupo tayari akose ili Mimi nipate.! I can't explain that remarkable love jamani..

Eeh' Mwenyezi MUNGU nitunzie.!!
 
Back
Top Bottom