Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?Mzee wangu ni a failed father. Sina lolote la kumsifia
'Failed father' imebeba mengine mazito ambayo, mtu mwingine hapendi kusimulia kisanga kizima.Duh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?
Mimi wanangu hawawezi niita failed father, hata nikifa hawajaniona. Mzee sitaki kujua kilichomkuta lakini anajifanya haoni jukumu lake kwangu. Namwambia hivi afanye matumizi yake kwa starehe na raha zake, badae tusisumbuane. Kila mtu avune alichopanda.....kuna wanaume wanapanda maharage wanataka wavune vanilla wakati bei ya maharage 2,000 na bei ya vanilla 50, 000-100,000 kulingana na msimuDuh. Ilikuwajekuwaje mkuu hakuwaonesha dira ya maisha? Wewe umejipanga vipi wanao wasikuite a faled father?