Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

Pasco, nakupongeza kwa kazi zako nyingi umefanya tangu nikufahamu. pia nawapa pole wafiwa, ni kitu kinauma kupoteza ndugu, au niseme mwanadamu yeyote.

lakini pamoja na hayo, nakushauri kitu kimoja, sisi wanaume mara nyingi huwa tunajisifu kwa kuwa na wadada wazuri, au kuwa na vitu vizuri. Mungu hajatuumba tuishi maisha hayo, na hapendi tujisifu kwa ajili ya hayo. wengi huwa wanajisifu kwa uzinzi, nimelala na wanawake wengi wazuri, nimefanya hivi na vile, nimekula bata, nimefanikiwa katika kazi, hakuna aliyewahi kumzidi Mfalme suleimani katika haya yote, ambaye naye baada ya kuboronga sana maisha alikuja kuthibitisha kwamba kila kitu katika dunia hii ni ubatili, vinapita tu, ila Mungu anadumu milele naye ndiye aliyeshikilia maisha yetu. unatakiwa uokoke, mpe Yesu Maisha yako, uwe kiumbe kipya, maisha ya dini hayaokoi roho, maisha ya dini hata ingekuwa nzuri au ya zamani namna gani hayaponyo roho, na duniani tunapita tu.

Yeremia 9:23 - 24 INASEMA: Bwana asema hivi, mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwasababu ya utajiri wake, bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi na kunijua ya kuwa mimni ni Bwana, nitendaye wema na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWana.

Ninashuhudiwa moyoni nikuase kwamba, mkumbuke Muumba wako, zaidi ya hivyo unavyomkumbuka sasa, yawezekana haujafanya kwa kiwango ambacho Mungu anataka, Mungu anataka ufikie kiwango cha kuokoka,mpe Yesu Maisha yako wakati nuru ingalipo, kwasababu siku zaja ambazo wengi wataukumbuka muda walioupoteza kwa mapotofu wasipate kurudi nyuma. Mungu ametupatia pumzi na uhai ili tumrudie yeye, tumpe sifa yeye, tumpe maisha yetu ili ayakomboe, Yesu alikuja sio kwa sababu ya dini, bali kwa sababu ya wokovu ambao wengi wanaukataa. wengi tulikuwa kama wewe, tulikuwa wabishi, tumebishana sana hata humu ila wakati ulifika Yesu akabadilisha maisha, yote yale yamekuwa historia, maisha yetu yapo mikononi mwake Yesu, yeye ndiye mponyaji wetu, yeye ndiye mtetezi wetu, yeye ndiye komandoo wetu na tumaini letu kwa kila kitu. Mungu akusaidie!
 
Hawa walikuwa watoto wa kishua ndio maana na wao walikuwa wanapata hizo koneksheni za fursa
Hawatuhusu sisi makapuku
 
Nyie waandishi wa kitanzania sijui anasomea vyuo gani, andiko lenu lilitakiwa tumjue marehemu vizuri, umri wake, familia yake na sababu ya kifo chake, ni cha ghafla, ugonjwa wa mda mrefu, ajali nk.
Mimi mpaka nikajikuta Nina question uwezo wangu wa kuelewa.
Mwisho Nika conclude maybe thread hainihusu ndio maana sijaelewa lengo lake.
 
Paskali na ww kwa kujisia hayo mambo ya totoz, hukawii hata kutuambia umeshamtafuna FaizaFoxy
 
Pascal Mayalla Mkuu sidhani kwa akiri hizi umeonesha hapa wewe baado upo married... instead kuleta wasifu vizuri wa marehemu wewe unakazia maisha ya umalaya tuu ...naishia kuwashukuru wajumbe Kule Kawe .
 
Paskali
Je marehemu aliandaa succession plan?
Mipango yake aliandaa team ya kuendelea baada ya yeye kutokuwepo au kustaafu?
 
R.I.P UNCLE SANCTUS MBELE YAKO NYUMA YETU.


nimeiona thread muda mrefu ila let me comment as well sasa hivi.
Huyu Mayalla ni mtu Safi sana. Ila ukikaa na wakubwa ukiuliza utaambiwa mzee ana vitu vingi vina mferisha. Yupo pale anapotaka kuwa ila hayupo alipotakiwa kuwepo.
Wakubwa huwa wanamchora tu. Sababu moja wapo ni nature yake.
Goodnight.
 
Nakumbuka mwaka 2007 nilikupa jina la "Pascal The comedian".

Ni miaka 17 hiyo imepita nilipokupa jina hilo bado weye watuonesha kuwa kweli ni comedian.

Kuna kipindi huwa warudi kwenye mstari lakini ukitoka tu nje ya mstari warudia theatre of comedy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…