Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!

Pole sana Paskali.
Yote ni mipango ya Mungu Mwenye Enzi.
 
Heshima yako kaka Paskali. Pole sana kwa kufiwa na mama.
Sasa leo umechokoza mada moja ngumu ambayo tungetulia na kuijadili kwa mapana yake, inaweza kuja kuleta mabadiliko makubwa ndani ya Utumishi wa Umma(UU).
 
Kamarada Pole sana kwa kumpoteza mama yako kipenzi 😪

Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele mama huyu ,amen🙏

#Siempre JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…