Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!

RIP na pole na msiba. Watu wa usalama wa taifa enzi zile walikuwa wanaitwa mashushu kazi zao zilikuwa ni kuvuruga nchi nyingine chini ya mwavuli wa ukombozi wa bara la Afrika, kunyamazisha upinzani wa Nyerere, kukamata, kufunga, kutesa, na kuuwa watu. Kwa wengi mashushu walikuwa ni silent heroes, kwa wengine mashushu walikuwa ni maadui.
 
Pole kwa msiba Bwn. Mayala.
 

Pole Pasi, Mzee alilala wapi kwenye nyumba yake ya milele ni huko huko Vunjo kwa Mama?
 
Pole sana kaka Pascal.
 
Pole sana baba mkwe kwa kuondokea na mama yako mpendwa, kachelo mbobezi kundi.

Ni dhahiri sasa vyama vya wafanyakazi vipambanie 80% ya mtumishi baada ya kustaafu.
Vyama vya wafanyakazi Ni moja ya takataka zinatia umasikini wa kutisha Watumishi.

Na kwakuwa ndio waandaaji wa MEI MOSI, hakuna namna Hawa wafanyakazi watasikika.
 
Tatizo hivi vyama vya wafanyakazi viongozi wake wengi wanapatikana kwa rushwa na kubebwa. Wengi wao wanajali maslahi yao kuliko ya watu wanao waongoza. Wapo kwa ajili ya kupata posho za vikao, safari na per Diem fake. Wao wakigawana pesa za michango za wenzao huona maisha ndio hayo na kusahau kabisa majukumu yao. Ni waoga sana kumtetea mfanyakazi
 
..pole sana kwa kumpoteza mama.

..MUNGU akupe subra na uvumilivu ktk kipindi kigumu cha maombolezo.

..May GOD rest her soul in eternal peace.
 
Mkuu,.Pole Kwa Kuondokewa na Mama
Nauliza, hii ya 80% benefit umekuja kuijua baada ya Msiba wa Mama au Kabla, ukinijibu ntakuuulliza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…