Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!

Leo siku ya Wanawake Duniani, tuwakumbuke Super Women wote hata waliotangulia mbele ya haki.
Huyu mwanamke aliyetajwa hapa ni super woman.
P
 
Pole sana kaka Paskali,
Faraja ya Mungu na izidi sana kuwa juu yako na familia yote kufuatia msiba huu.

Kuna mengi ya kujifunza kwako kwa uwezo wa kuandika, kuhoji maswali magumu pasi woga.

Mchango wako ni mkubwa sana kwenye tasnia ya habari na JF pia.

Paskali wewe ni shujaa pia kwa kutoa mchango wako kwa jina lako halisi pasi woga.

Poleni wanafamilia, poleni 'wazee jikoni'
 
Leo siku ya wanawake duniani, tuwapongeze hata mashujaa ambao ni silent heroes na heroines wanawake waliotangulia mbele ya haki.
Hongera sana shujaa huyu Mwanamke.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…