Senkyu is just senkyu usilazimishe sana mkuu kama unataka senkyu za kumwaga andika umbea wa ccm na kuipa tano chadema wapo washabiki wengi sana humu na nina hakika utakula senkyu mpaka utazikimbia hihihihihihih nchi imerogwa hii :glasses-nerdy:cant you see thanks button pembeni ama?click thanks and not just writting girl
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.
kwa wale waingereza
- Open run
- Type - control userpasswords2
- Select the account of which want to change the pass
- Click reset password and type your new pass and you are done!
DONT FORGET
THANKS MUHIMU OR REP IF POST NI USEFULL
sasa baada ya change hiyo pswd haitakuwa na madhara kwa users wengine. let us say it is a organisation/company computer. je sitaweza kufahamika kuwa nimefanya huo umafia a. k. a uharamia?
sawa tumekubali. Lakini hii ni aina ya uharamia ambayo si hekima kui-broadcast kwenye public netwoks kama jf. Jifunze ethics kijana. Usifanye vitu kwa kutaka sifa utaumia.
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.
kwa wale waingereza
- Open run
- Type - control userpasswords2
- Select the account of which want to change the pass
- Click reset password and type your new pass and you are done!
DONT FORGET
THANKS MUHIMU OR REP IF POST NI USEFULL
Itakuwa vipi system ikashindwa kujua changes za password? yule user alilyelogin system itaendelea ku-auditing kila kitu anafanya, unless ni kampuni za uswahilini na admin hajui anachofanya. Kitu kingine makampuni makini yana disable kabisa hiyo run command + cmd. Siyo tu kudisable inaondolewa kabisa kwenye start menu kwa kutumia GPO. Hii ni area yangu ya kujidai MCITP holder.Haitojulikana ni nani alyofanya.it will be in dillema.but ukionekana itakuwa mbayaaaaa