Zasasule
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 1,001
- 103
- Thread starter
- #21
Itakuwa vipi system ikashindwa kujua changes za password? yule user alilyelogin system itaendelea ku-auditing kila kitu anafanya, unless ni kampuni za uswahilini na admin hajui anachofanya. Kitu kingine makampuni makini yana disable kabisa hiyo run command + cmd. Siyo tu kudisable inaondolewa kabisa kwenye start menu kwa kutumia GPO. Hii ni area yangu ya kujidai MCITP holder.
you have a point brother