kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Kuna huyo comedian wa kenya anajiita MCA TRICKY yaani yuko vizuri mno tena sana na anajua kuchekesha haswa, kwa sasa aina ya comedy anayoifanya iko vizur mno tofauti na hizi zetu za mara kuvaa matambara mara sijui mtu anajikakamua kukulazimisha ucheke.... Hadi unajikuta badala ucheke kike anachokifanya unaanza mcheka yeye..