makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 11, 2025 #21 Serikali wakianza kutaja hela zao, unaweza kusema nchi imeoiga hatua, ukija kwenye uhalisia hamna kitu. Mtaani kwetu ni mwendo wa kila mtu na kisima chake.
Serikali wakianza kutaja hela zao, unaweza kusema nchi imeoiga hatua, ukija kwenye uhalisia hamna kitu. Mtaani kwetu ni mwendo wa kila mtu na kisima chake.