Trilioni 1 kwa ajili ya mikopo.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Makadirio bajeti iliyopita ilikuwa trilioni 15 kwanini serikali haikutenga angalau trilioni 1 kwa ajili ya mikopo ili vijana wetu wasome waje kulitumikia taifa kwa roho safi maana limewajali matokeo yake bajeti nzima inaishia kwenye kulipa posho, 2015 mimi na kura yangu.
 

ofkoz idea yako ni nzuri lakini so far bilion 600 inatosha kusomesha wote elimu ya juu na chenchi kubaki.
 

Utashangaa chuo kikuu kuna mazombie yanashabikia CCM! Sawa, wewe na kura yako, lakini hata wengine waliokosa wataipigia kula ccm! Tuna safari ndefu sana!
 
ofkoz idea yako ni nzuri lakini so far bilion 600 inatosha kusomesha wote elimu ya juu na chenchi kubaki.

sasa serikali inashindwa nini mbona pesa kidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…