Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati itayosimamia hiyo fedha lakini ingependeza kama wabunge wa upinzani wangejumwishwa kwenye hiyo kamati.