Trillion 1.3 Makampuni Yatakayopewa Tenda Yatangazwe Rasmi

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati itayosimamia hiyo fedha lakini ingependeza kama wabunge wa upinzani wangejumwishwa kwenye hiyo kamati.
 
Hao wabunge wa upinzani Ni wakina Nani mkuu?
 
Kwani kuna wabunge wa upinzani kwenye bunge la Ndugai?
 
Kwa bahati mbaya nchi kwa kipindi hiki haina wabunge wa upinzani, kama kweli huwa wana umuhimu mgetumia akili kabla ya kuibaka demokrasia.
Hapo lazima hayo ni masharti mliyopewa na hao 'mabeberu' wakati mnapokea hilo fungu.
 
Ccm walibaka uchaguzi2020 wakapewa majimbo yote ila sasa wanalalamika tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…