Triple C kule Morocco hakuwa na Raha

Triple C kule Morocco hakuwa na Raha

Aisee nime muona chama ktk viwanja vya mazoezi Simba jamaa ana furaha sanaa, full kucheka, jamaa ana tabasamu, nimeamin kweli mwamba wa lusaka kule Morocco hakuwa na Furaha

Amekutana na Quality players, utaachaje kukosa raha!!!
 
Sijawahi kuona jitu liongo kama wewe humu jukwaani, nyoko zako
Shida ya mijitu ya utopolon ndio kama hivyo sasa hamuamin basi subirin enjinia atakupa statement kwann walimshimdwa kumshawishi clotous acheze utopolo
 
Shida ya mijitu ya utopolon ndio kama hivyo sasa hamuamin basi subirin enjinia atakupa statement kwann walimshimdwa kumshawishi clotous acheze utopolo
😂😂😂😂👇👇

02ED7413-97B9-4937-8746-35FBC597105F.jpeg
 
Naomba kuuliza jamani eti chama tunaweza kumtumia huku shirikisho kuanzia robo fainal au ndio mpaka msimu ujao?
 
Back
Top Bottom