Aisee nime muona chama ktk viwanja vya mazoezi Simba jamaa ana furaha sanaa, full kucheka, jamaa ana tabasamu, nimeamin kweli mwamba wa lusaka kule Morocco hakuwa na Furaha
Ahsante kwa taarifa...
Shida ya mijitu ya utopolon ndio kama hivyo sasa hamuamin basi subirin enjinia atakupa statement kwann walimshimdwa kumshawishi clotous acheze utopoloSijawahi kuona jitu liongo kama wewe humu jukwaani, nyoko zako
Kwa taarifa yako mechi yake ya mwisho alikuwa man of the match!!Kule alikuwa inferior coz alikutana na quality players zaidi yake
ππππππShida ya mijitu ya utopolon ndio kama hivyo sasa hamuamin basi subirin enjinia atakupa statement kwann walimshimdwa kumshawishi clotous acheze utopolo
ππππβοΈπππβοΈβοΈβοΈ
Mpaka msimu ujaoNaomba kuuliza jamani eti chama tunaweza kumtumia huku shirikisho kuanzia robo fainal au ndio mpaka msimu ujao?
Asante mkuuMpaka msimu ujao