Troublemaker leo nimetimiza miaka mitano ndani ya JF

Troublemaker leo nimetimiza miaka mitano ndani ya JF

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello JF!

Heshima kwenu na kwangu, uwepo wetu humu ndio unafanya jamii forum iendelee kuwepo. Japo niiliifahamu JF mapema mwaka 2012, lakini tarehe kama ya leo mwaka 2015 ndio rasmi nilijoin kama member. Kwangu si midogo, ukizingatia wapo member waliotangulia, R.I.P kwao.

Naheshimu ushirikiano wenu kwangu nyinyi nyote, sio siri mmenifaa sana katika nyakati nyingi. Hasa kwangu ndio mtandao pekee nikijisikia upweke nikiingia huku basi nakuwa kama niko na familia kubwa karibu. Kama ilivyo sehemu nyingine wakutanapo watu kuna pumba na mchele lakini ikizingatiwa katika jamii yeyote hatuwezi kufikiri/kuwaza sawa.
Ni ww na ungo wako kuweza kupeta na kupembua vyema kupata unachohitaji. Nami naweza sema nimepata na naendelea kupata ninachohitaji kutoka kwenu.

Asanteni sana.


Sina mengi ni mimi mtoto wenu mpendwa
troublemaker
JF-mwanachama mzoefu
Natokea - Tanganyika
Jinsia - ME
Tar ya kuz - August 4
Mahusiano - Single😜
 
Mkuu upo single kwahiyo we ni mwanachama wa sabuni..??
Mi natumia ya unga kabisa sitaki mchezo..😅

Bwana na anionyeshe mlango sahihi..🙏
Yaani uzi mrefu lakini hapo mwisho kabisa kwenye maneno yasiyozidi 20 ndio mnapaona kweli.😀😀
 
Yaani uzi mrefu lakini hapo mwisho kabisa kwenye maneno yasiyozidi 20 ndio mnapaona kweli.😀😀
Wanasemaga komenti ya kwanza ndio huwa uelekeo wa yote..
Mi namiaka minne humu ukiisha huu nafikisha wa tano kwenye mwezi wa 12 huko.. jf ni Elimu kwangu,sehemu ya kuinjoi n.k

Vitu vya kimasihara ndio huwa napenda kuvikazania!😅
Ila vile vya ukweli hukuti navishupalia Sana kwa maana naamini kuwa ukweli hautakiwi kushupaliwa bali husimama wenyewe!.. vitu vyengine wengi wameshindwa kunielewa! Hata kama wakishindwa wao kunielewa Mimi inatosha kuvielewa kwa maana naishi maisha yangu,hivyo hata ukweli nikiujua Mimi ni kwaajili yangu daima siulazimishi ukweli...

Nami nakushauri uishi ktk namna hiyo utajiepusha na mengi..
 
Back
Top Bottom