Troublemaker leo nimetimiza miaka mitano ndani ya JF

Umeijua JF 2012?mbona ulichelewa sana kujiunga?
Mie nimeijua JF 2016,na siku nimeijua ndio siku nimejoin

Halafu hapo kwenye single ina mana yule wifi yangu financial services mlishamwagana?

Halafu niPM jina lako halisi
 
1.Nilichelewa kujiunga kwanza nilikuwa siuelewi sana JF kwa wakati huo. Nilikuwa mtumiaji wa Facebook zaidi wakati huo.

2.Alizuzuka na wenye magari akaniacha😢

3.Sawa lako pia unitajie pm😜
 
One of the humble brothers around....lile jukwaa la console nimali yako hahaha
 
1.Nilichelewa kujiunga kwanza nilikuwa siuelewi sana JF kwa wakati huo. Nilikuwa mtumiaji wa Facebook zaidi wakati huo.

2.Alizuzuka na wenye magari akaniacha😢

3.Sawa lako pia unitajie pm😜

Ooh,ndio maana

Haya,niPM basi hilo jina
 
Umeijua JF 2012?mbona ulichelewa sana kujiunga?
Mie nimeijua JF 2016,na siku nimeijua ndio siku nimejoin

Halafu hapo kwenye single ina mana yule wifi yangu financial services mlishamwagana?

Halafu niPM jina lako halisi
Naona amenikana eti yuko single wakati tushaoana miaka 7 sasa, wanaume Mungu anawaonaa😀😀, kuwa makini Joanna kaandika yupo single ili akupate tu.😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…