Ukiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.fuso ukibahatika kununua tipper naona kama zinalipa sana,,,mfano huki mbezi fuso tipa hesabu kwa siku ni laki had laki na 20
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, mikoani zinlipa zaidi, na wazo langu moja wapo niaifanyia vitu niweke bumu.fuso ukibahatika kununua tipper naona kama zinalipa sana,,,mfano huki mbezi fuso tipa hesabu kwa siku ni laki had laki na 20
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kila kipisi kinaweza kuvuta trailer!Jamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?
"Kipisi ni hozi kubwa"kipisi ni zile Hozi kubwa kama scania howo nk
konki sana hivi vifuso vina roho ya paka ukipata kama hii sisteen alfu ukiamua ukomae mwnyewe ndani ya miaka mitatu uko mbali sanaUkiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.
Ni ile kibini"Kipisi ni hozi kubwa"
Hozi ni nini?
kama izo tipper ukaweza kukomaa mwnyewe au ukawa na dereva wako muaminifu nakuhakikishia ndani ya miaka mitatu unabdilishwa jina kutoka Kuhani Noah up to #kuhan zedonNi kweli, mikoani zinlipa zaidi, na wazo langu moja wapo niaifanyia vitu niweke bumu..
[emoji28][emoji28][emoji28]
Zinalipa sana mkuu, maana hata kwenye project zangu zina saidia kwa mwezi gari za kukodi nilikuwa natumia zaidi ya 4 mill ila sasa hata hiyo nime savekama izo tipper ukaweza kukomaa mwnyewe au ukawa na dereva wako muaminifu nakuhakikishia ndani ya miaka mitatu unabdilishwa jina kutoka Kuhani Noah up to #kuhan zedon
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
kipisi ni zile Hozi kubwa kama scania howo nk lakin zinakuwa na body ya moja kwa moja sio ya kupachika
Hiyo ya moja kwa moja angalia hapo kwny kichwa kurud nyuma"bodi ya kupachika" VS "body ya moja kwa moja"
msamiati mwingine mpya!..
Mkuu Kuhani Noah habari ya majukumu?Zinalipa sana mkuu, maana hata kwenye project zangu zina saidia kwa mwezi gari za kukodi nilikuwa natumia zaidi ya 4 mill ila sasa hata hiyo nime save
Jamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?
Tatizo wamiliki wa malorry wengi anaipenda sana cheap driver,wamesahau kuwa udereva ni taaluma kama zingine wanafikiria kuendesha gari ni kwenda mbele na kulenga madaraja,dereva ni zaidi ya hapo,kwenye malipo ya dereva nani anajua dereva analipwaje kwa safari ya kutoka Dar kwenda Congo au Dar kwenda mikoani? Kuna changamoto sana kufanyakazi ya udereva hapa kwetu TanzaniaDada ambaye truck yake imezama Wami kafilisiwa na dereva, hakupata dereva mzuri
Nasikia Safari ya Lubumbashi via Kasumbalesa huchukua zaidi ya miezi miwili na malipo yake ni laki sitaTatizo wamiliki wa malorry wengi anaipenda sana cheap driver,wamesahau kuwa udereva ni taaluma kama zingine wanafikiria kuendesha gari ni kwenda mbele na kulenga madaraja,dereva ni zaidi ya hapo,kwenye malipo ya dereva nani anajua dereva analipwaje kwa safari ya kutoka Dar kwenda Congo au Dar kwenda mikoani? Kuna changamoto sana kufanyakazi ya udereva hapa kwetu Tanzania
Ikishakuwa sio double diff sio tandem Tena, tandem ni neno la kiingereza likimaanisha vitu viwili vinavyofanya kazi Aina moja lakini kwa kujitegemea kila kimojasio kila tandeem(tandam) huwa na diff mbili nyuma(double diff) bali zingine huwa na deed axle(difu moja na axle inayokokotwa)
Posho za safari hutofautiana kutoka muajiri mmoja hadi mwingine!Nasikia Safari ya Lubumbashi via Kasumbalesa huchukua zaidi ya miezi miwili na malipo yake ni laki sita
+1Mkuu sio kila kipisi kinaweza kuvuta trailer!
Nakubali kujifunza zaidi! Kwanini hiyo 114 dual drive isiwe tandem?+1
Unajua tunabishana kwa kutumia terminology ambazo sio rasmi. Kipisi, tandam, pulling nk ni maneno amabyo yametokea tu mtaan hayana base kitaalamu,
114 inaweza ikawa double diff na isiitwe tandam