Hahahaaa naielewa aisee hii ngoma yani 30 inang'oa vizuri na inakwea vigongo aisee. Utata ni TANROADS tuHiyo Faw ya mchina ya 8×4 Ina nguvu sana na huna haja ya kuongeza spring wewe ni kubeba mzigo kwenda mbele.
Zipo flatbeds 20 on standbyMwenye malori ya transit kuna mizigo ya Zambia na DRC anicheki kama yupo tayari kupeleka gari.
Seriously Mkuu,tuwasiliane.Zipo flatbeds 20 on standby
Mimi natamani kuwekeza kwenye biashara ya vipuri vya trucks, naomba kwa mwenye kufahamu ABC's kama :
minimum startup capital, office location, spare za trucks gani zisikosekane, aina ya spares zenye mzunguko mkubwa n.k
Nipo dar, natanguliza shukran.!
Umefunga PM mkuu.Zipo flatbeds 20 on standby
Mtaji mdogo kwako ni kiasi gani?Pia nauliza biashara ya kuuza TIRES, RIMS & BATTERIS au SPARE PARTS kwa trucks ni ipi yenge mzunguko mkubwa?
ZINGATIA: Yenye mtaji mdogo na iwe kwenye mzunguko mkubwa.
Wadau, madereva, mafundi na wamiliki wa trucks naombeni mawazo yenu juu ya experience yenu.
Natanguliza shukraan.
Mkuu samahani, una ufahamu wowote kuhusu unachotamani kukifanya?Mimi natamani kuwekeza kwenye biashara ya vipuri vya trucks, naomba kwa mwenye kufahamu ABC's kama :
minimum startup capital, office location, spare za trucks gani zisikosekane, aina ya spares zenye mzunguko mkubwa n.k
Nipo dar, natanguliza shukran.!
Mtaji mdogo kwako ni kiasi gani?
Tairi 2 za trucks ni kama 1M. Battery ni kama 400k hivi.
Unaweza jipima kuanzia hapo.
Mkuu samahani, una ufahamu wowote kuhusu unachotamani kukifanya?
Basi biashara ushaiweza.1 M. Ni kwa bei ya jumla au rejareja?
Anyway mtaji wangu ni kuanzia 250 M
Treni haiwezi kufika kila sehemu, usafiri wa magari makubwa ni muhimu sanaBujibuji, What do you fore see as an impact of current Improvement of Railway System in Tanzania to Trucks Transport Sector ?
Nimekucheki pm mkuu.Umefunga PM mkuu.
MkuuTreni haiwezi kufika kila sehemu, usafiri wa magari makubwa ni muhimu sana
Ukweli lazima usemwe, wanasiasa waache longolongoMkuu
Upo sahihi kabisa ,ila watu wameaminishwa tofauti na wanasiasa .
Reli haiwezi kuwa suluhisho la usafiri nafuu kama tunavyoaminishwa , kimantiki reli unaweza kuwa usafiri wa gharama sana kwa baadhi ya vitu , chukulia mfano wa mbao ya makambako, na masoko yake buguruni, ni rahisi.kwa mfanyabiashara kukodi lori ambalo litafika siku ya pili sokoni, kuliko kukodi treni ambayo itachukua hadi wiki kufika sokoni na bado truck itahitajika kupeleka mzigo makambako station pamoja na kuchukua mzigo buguruni Tazara station .
Hata huko USA ,nchi yenye railways network kubwa kuliko zote duniani , bado trucks zina demand kubwa.
Sawa tumekuelewa! ila mkuu nimesha panda sana sasa!! naingia huku kwa nguvu zote!Mkuu
Upo sahihi kabisa ,ila watu wameaminishwa tofauti na wanasiasa .
Reli haiwezi kuwa suluhisho la usafiri nafuu kama tunavyoaminishwa , kimantiki reli unaweza kuwa usafiri wa gharama sana kwa baadhi ya vitu , chukulia mfano wa mbao ya makambako, na masoko yake buguruni, ni rahisi.kwa mfanyabiashara kukodi lori ambalo litafika siku ya pili sokoni, kuliko kukodi treni ambayo itachukua hadi wiki kufika sokoni na bado truck itahitajika kupeleka mzigo makambako station pamoja na kuchukua mzigo buguruni Tazara station .
Hata huko USA ,nchi yenye railways network kubwa kuliko zote duniani , bado trucks zina demand kubwa.
Gari hizi bomba sana zina jiko choo, bafu, swimming pool!! yaani nikinunua hii naendesha mwenyewe kwanza! kabla ya hapo najifunza mambo madodgo madogo ya dharula!!
Kuna mzee mmoja ana gari kadhaa! Miongoni mwa hizo gari kuna 113..Gari hizi bomba sana zina jiko choo, bafu, swimming pool!! yaani nikinunua hii naendesha mwenyewe kwanza! kabla ya hapo najifunza mambo madodgo madogo ya dharula!!
yaani hii simpi dDereva aisee liwalo na liwe, wtaniita majina yote mnoko, sijui lugumya!! sinto jali..... gari yangu naendesha mwenyewe taaatibuuu! naipa mzigo standard tu! sipakilii tamaa!
kama kuna magari yanauma bwana weee! basi ni kama hili! unaweza kufa ukisikia limetumbukia mtoni!