Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Inalipa na gari utaifungia mfumo wa tracking ili kujua inafanya movements zipo na camera.Inalipa mkuu , kuliko kungangania kwenda Kwenda huko Lubumbashi nakosikia madereva wetu wa Kitanzania wanapata sana shida , kukaa huko hata mwezi mmoja . Thanks man
OkInalipa na gari utaifungia mfumo wa tracking ili kujua inafanya movements zipo na camera.
Ukihitaji Truck ya mtumba kutoka South Africa iwe Scania,Man Diesel,Daf,Benz,Iveco au Chinese brand nicheki mkuu
Kipisi Cha scania kutoka south Africa Bei gani?Inalipa na gari utaifungia mfumo wa tracking ili kujua inafanya movements zipo na camera.
Ukihitaji Truck ya mtumba kutoka South Africa iwe Scania,Man Diesel,Daf,Benz,Iveco au Chinese brand nicheki mkuu
Andaa kuanzia 80mKipisi Cha scania kutoka south Africa Bei gani?
Na used ya Tanzania iliyokatika hali nzuri kidogo?Andaa kuanzia 80m
Changamkeni vijanaNa used ya Tanzania iliyokatika hali nzuri kidogo?
Kuanzia 60m, ukipata ya chini unaweza ukarekebisha rangi na bodyNa used ya Tanzania iliyokatika hali nzuri kidogo?
Lakini engine na gear box zinakuwa poa?Kuanzia 60m, ukipata ya chini unaweza ukarekebisha rangi na body
NdioLakini engine na gear box zinakuwa poa?
Ponapo uzima ntakucheki mkuu unipe mwngozo ngoja nijazie kibundaNdio
Bez ni gari Gani? Au ni Mercedes Benz? Maana Wachina hawachelewi kufanya yaoNimenunua canter mbili.. kwa kuanzia.. na zintengeza faida vizuri tu. Mwakani nataka niongeze fuso mbili napo.. ila dream ni Volvo , Bez..
Hio fuso naturally hua sio puller sasa ikitengenezewa tela likivutwa si ndo pulling yenyewe na ikitenganishwa na tela unashindwaje kuiita kipisi kama kiunganishi cha tela kipo?Jamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?
Naitaji Fuso used wakuu kuanzia 4.5m3. Mwenye uzoefu anipe ABC nitashukuruUkiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.
GoodInalipa na gari utaifungia mfumo wa tracking ili kujua inafanya movements zipo na camera.
Ukihitaji Truck ya mtumba kutoka South Africa iwe Scania,Man Diesel,Daf,Benz,Iveco au Chinese brand nicheki mkuu