Ni kweli ila isiwe kisingizio cha kuingia kwenye ndoa mapema, lasivyo ni sawa na kujua sigara ni hatar kwa afya na bado ukavuta.Ndio maisha mkuu tunaumia kazini ,kwenye familia,kwenye mahusiano,kwenye urafiki,kwenye kula na kunywa ,kwenye kucheza n.k binadamu na maumivu ni pande mbili za sarafu Moja haya epukiki
Wanaumia hata wanaochelewa kuingia tena wote TU aweza kuwa mwanaume au mwanamke kama una nafasi nzuri OA Wala usikawie yakienda vibaya jua ni maisha hakuna ajuae kesho oa sasaNi kweli ila isiwe kisingizio cha kuingia kwenye ndoa mapema, lasivyo ni sawa na kujua sigara ni hatar kwa afya na bado ukavuta.
Maumiv utakayopitia kwenye usingle ni bora kuliko ukiwa kwenye ndoa especially kama tayari una watoto, it's like unakua umeharibu destiny yako. Trust me, hasa kwa sisi wanaume.Wanaumia hata wanaochelewa kuingia tena wote TU aweza kuwa mwanaume au mwanamke kama una nafasi nzuri OA Wala usikawie yakienda vibaya jua ni maisha hakuna ajuae kesho oa sasa
It's just a formalityFacts; but if marriage has nothing to do with love, how would someone marry someone without being in love with them? I think marriage and love are compatible but should be with the right person!