Mkuu kwani hapa kuna uchawai?Beira Baby Boy post zako ni za uchawi Na ngono.
Kimtokacho MTU ndicho kilicho ujaa moyo wake.
Nakuonea huruma kwelikweli
uchawai haupoMkuu kwani hapa kuna uchawai?
Funga na kuomba utapokea uponyaji na utawekwa huru kutoka katika hicho kifungo chako, usisubiri mtu mwingine aje akuombee. Mwamini Mungu kuwa anaponya nawe utapokea uponyaji. Baada ya hapo usitende dhambi tena.Wapi mkuu naweza ombewa