True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Season 2 sehemu ya 1

Basi baada ya kuwa nimekutana kimwili na tatu, babu aliniuliza eti sikuona mabadiliko mwilini mwangu? Nilibaki kuwaza nisikumbuke jambo lolote lililonitokea wakati tunafanya mapenzi na tatu.

Sikumbuki chochote babu kwani sikuona tatizo lolote, nilimjibu babu huku nikimwangalia usoni.

Hukuona mabadiliko yoyote huko chini baada ya tendo? Aliniuliza babu na kuongeza, ile mizizi uliyotafuna humfanya mwanaume kuwa na nguvu mara 3 zaidi ya alizonazo, sasa wewe unaposema hukuona tofauti unanishtua mwanangu na nilitegemea hiyo ndo itakua njia ya kumfanya tatu atupatie kile tukitakacho.

Hapo nilishtuka kidogo na sasa picha ya tendo lote ikanirudia, nilikumbuka namna bwana manyanda wangu alivyoendelea kusimama wima hata baada ya kuwa nimepiga mshindo wa kwanza, hivyo kujumlisha tendo mpaka napiga bao la pili ndo nikashuka kifuani mwa tatu, pia manyanda hakukawia kudinda tena na tena.

Samahani nilisahau babu, kiukweli ule mzizi ni hatari babu, yule binti nilimnyoosha vibaya mno, nisamehe babu.
 
Hivi hizi hadithi huwa zinatokaje... part one uliitoa?
 
Kwani wewe sio mwandishi kabisa, unaandika paragraph moja unaita chapter, u a akili timamu kweli wewe.

Ujinga wako unawatukanisha sana Wasukuma. Umefanya waonekane ni wachawi na wazinzi na wauaji, pia umefanya waonekane ni mazezeta kama wewe ulivyo
 
Sehemu ya 2

Babu alitabasamu, tabasamu la ushindi, alionekana kufurahia habari ile huku akinitaka nimwelezee tukio zima la kumchakata yunge na manyanda wangu ni namna gani alikuwa imara muda wote.

Baada ya kumwelezea stori nzima babu alifurahi sana na kusema, hapo tutakipata tunachokitafuta kiurahisi sana kwani mwanamke akipigwa vizuri na libolo huwa hanaga kusema noo kwa chochote atakacho ombwa na bwana mwenye kulimiliki hilo libolo.

Sasa fanya juu chini huyu tatu leo jioni uje nae kule mbugani mida ya saa 11 ili tuanze mipango yetu mapema kabla hawa wachawi hawajatuwahi, alisema babu nami nikamwahidi aondoe shaka kwani kwa namna tatu alivyokorezwa na libolo la mie, niliona hana namna ya kupinga jambo liwalolote ambalo ningemwomba, japo hata mie nilikua nimekorea kwa tuvituvitu alitokuwa ananipatia kwenye mnyanduano, nikiri wazi nilikuwa sasa nimezisahau zile dharau zake pamoja na maneno yake machafu.

Tulipiga stori nyingi na babu huku jambo lile la kuwakomesha yunge na washirika wake tukiwa tumeliacha.
 
Hii ni katika nyuzi nazionaga tu ila sijawahi shawishika kusoma😀
Jamaa yule ni mkali wa kusimulia, pia ametengeneza fan base ambapo anakubali kukosolewa, kutukanwa nk ila mwisho wa siku anawageuza wakosoaji wake kuwa rafiki zake, sio huyu taahira ambaye akikosolewa kidogo tu anabadilisha na jina.

Angalia ule uandishi wa hadithi ya Togolo, sura moja ina ata za kutosha na matukio mbalimbali.

Hapa babu kanituma ugoro, aya mbili, sura imeisha
 
Kwani wewe sio mwandishi kabisa, unaandika paragraph moja unaita chapter, u a akili timamu kweli wewe.

Ujinga wako unawatukanisha sana Wasukuma. Umefanya waonekane ni wachawi na wazinzi na wauaji, pia umefanya waonekane ni mazezeta kama wewe ulivyo
Kunamtu amekuita kuja hapa? mbona sioni sehemu nimekutag?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…