Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nifukuze ukiwezaKunamtu amekuita kuja hapa? mbona sioni sehemu nimekutag?
Akikujibu nitagHivi hizi hadithi huwa zinatokaje... part one uliitoa?
Hili ndo la muhimu tulipe kipaumbelenaomba jina la huo mzizi[emoji1787]
Bujibuji himself, naona umeniita huku. Kwema?
I'll take this as a compliment, Asante sana[emoji1545]Jamaa yule ni mkali wa kusimulia, pia ametengeneza fan base ambapo anakubali kukosolewa, kutukanwa nk ila mwisho wa siku anawageuza wakosoaji wake kuwa rafiki zake, sio huyu taahira ambaye akikosolewa kidogo tu anabadilisha na jina.
Angalia ule uandishi wa hadithi ya Togolo, sura moja ina ata za kutosha na matukio mbalimbali.
Hapa babu kanituma ugoro, aya mbili, sura imeisha
kama bongo movie tuHivi hizi hadithi huwa zinatokaje... part one uliitoa?
HahaaaaaaaaJF is just a place to chill...
msituletee stress zenu za kushindwa kusimamisha **##&// nyie
Hawa jamaa wapumbavu halafu wanadhani na JF wote wapumbavu. Dogo ondoa huu uchafu wako wa kutunga na kujidai ni kweli. Umechuja sana... Unadhani watu wote wata support stories za kipumbavu kama hizi Mafisango ChamaDogo, huoni aibu? Hebu tutolee uchafu huu. Wana JF sio wapumbavu kama unavyodhani.
Chizi Maarifa njoo huku kuna taahira anataka kusumbua akili zetù
Toka hapa na uchafu wako. Kanawe ndo uje uongee... Unaleta inzi tu na vistory vya kitoto. Nenda kasimuliane na babu yako huko. Huna Elimu ya kutosha kutunga hadithi ya maana. Na ukiendelea utulize akili umwambie mtu akusaidie kufikiri siyo kuleta ujinga tuKunamtu amekuita kuja hapa? mbona sioni sehemu nimekutag?
Hayo yote kayasababisha USM ALGER sio mie pumbav.Toka hapa na uchafu wako. Kanawe ndo uje uongee... Unaleta inzi tu na vistory vya kitoto. Nenda kasimuliane na babu yako huko. Huna Elimu ya kutosha kutunga hadithi ya maana. Na ukiendelea utulize akili umwambie mtu akusaidie kufikiri siyo kuleta ujinga tu
Nipo hapa nakuangalia dogo nakufuatilia kwa ukaribu na ole wako ushindwe kutunga na kurusha episodes humu ndani utalaumu mzazi wako kwanini amesababisha uzaliwe na mimi mhusika nakutizama tu.Hayo yote kayasababisha USM ALGER sio mie pumbav.
Ng'wanike olyatora hoho ung'onda ng'wiru!.Hivi mbona watu hasira za kunyimwa unyumba asbuhi asbuhi na wake zenu mnataka kuzimalizia hapa jf? naomba mniache, atakeona naandika vibaya nijuu yake kwani mimi sio mwandishi isipokuwa nasimulia kisa changu, silipwi wala nini,
Aaf mtu kusema nawaabisha wasukuma ulitaka niandike waha nawakati mambo yamenitokea usukumani na mimi mwenyewe ni msukuma? Ebu acheni hasira za kipumbav sawa? Hunijui sikujui, ukiona unapigwa kamba ebu jifanye kama huuoni uzi huu,
JINGA MOJA.
Unatishia kunya unakomea kujampa, aaf unajiona bonge la mnyoo wakati sisimizi tu anakugaragaza.Nipo hapa nakuangalia dogo nakufuatilia kwa ukaribu na ole wako ushindwe kutunga na kurusha episodes humu ndani utalaumu mzazi wako kwanini amesababisha uzaliwe na mimi mhusika nakutizama tu.
Kisukuma gani hicho wewe.Ng'wanike olyatora hoho ung'onda ng'wiru!.
Hebu wewe Mafisango Chama kama kweli wewe ni Msukuma niambie hapo ninamaanisha nini?
Acha ujuaji wewe sema hapo nimemaanisha nini,mimi ni msukuma wa LAMADI,hivyo naelewa nilichoandika.Kisukuma gani hicho wewe.
Hicho kinyantuzu hujui hata kuandika, ebu ongea kwa sauti, fanya haraka basi.Acha ujuaji wewe sema hapo nimemaanisha nini,mimi ni msukuma wa LAMADI,hivyo naelewa nilichoandika.
Hata kuandika hujui dogo. Umesoma ulichoandika? Ndo maana nimekuambia just be careful I am watching. Ukikosa kazi kabisa kasome Swahili Course siyo uje kuandika andika uharo hapa ukidhani baadaye utawacharge watu pesaUnatishia kunya unakomea kujampa, aaf unajiona bonge la mnyoo wakati sisimizi tu anakugaragaza.