True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Tunashukuru sana
 
Huyo jamaa nilishamuweka kwenye radar.. yani nilimua nasubiri ajae kwenye box langu nimlipue
Angalia usifungiwe. Chzi maarif aalinichokoza nikampa za usoni akaenda kunisthak kwa mods. Ndo anachokitafuta
 
Ndiki ndikika halafu unataja jina la mchezaji unayemtaka kwenye timu yako.
Hii ni moja ya mbinu za kutengeneza timu uwanjani.
Umenikumbusha mbali sana kanda ya ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…