TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

 
We ulikulia Mbeya,Nonde,Nzovwe,Mwanjelwa,Mabatini sio sana.Majengo nao sio sana,Simike sana tu kuelekea forest hayo mambo kawaida tu hadi Uyole huku kwa kina mwakibete.
Hayo mambo ilikua kawaida tu.
Kuna siku mwanangu Lupi ugomvi wa mpira akamtandika bahati ngumi za kutosha.
Bahati kaweka kisasi,
tukaenda siku halengo kule chini porini sana tukamkuta huyo Lupi.
Siku hiyo niliona mtu akipigwa ncha ya jiwe la utosi damu zinaruka juu kama bomba.
Na wote tukatoka baru.
Tulikuwa under 10 that time..
Kama unamjua.
Jombi,Mwamajuja,Chanda,Jairo,Semeni,Angetile,Frank,etc
Then tutaongea lugha moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…