Umekuwa kama ID fulani humu ilikuwa haipiti mwezi inaanzisha uzi eti mtambue _____ uliza chochote kuhusu _____ nikujibu
Yaaaani anaforce tumjue akati hata picha yake hakuwahi kuweka,kutusumbua tu
Sasa wewe huu uzi wako wa pili naona unaandika kuhusu kuacha shule....haya sawa umeacha shule umeeleweka,unataka tufanyaje sasa?