zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #21
dah!uzi wa pili sipati msaada tuUmekuwa kama ID fulani humu ilikuwa haipiti mwezi inaanzisha uzi eti mtambue _____ uliza chochote kuhusu _____ nikujibu
Yaaaani anaforce tumjue akati hata picha yake hakuwahi kuweka,kutusumbua tu
Sasa wewe huu uzi wako wa pili naona unaandika kuhusu kuacha shule....haya sawa umeacha shule umeeleweka,unataka tufanyaje sasa?