Uliwahi sikia mtu anaitwa Mzeru? Maeneo ya Bigwa.Mzee kingalu si alishafariki? Ila huku kuna mambo mazito sana, nipo mitaa ya huko huko unapopazungumzia mkuu. Nna jambo langu. Na story za huku nazisikilizia kwa umakini, kuanzia kiloka, mkuyuni, tununguu na msitu wa kibungo..tuendelee mkuu. All in all huku kuna mali kibao, mbali na hizo ngumu kumeza ( mercury ) kuna mawe ya kutosha...
Kwahiyo jumla tutakuwa watatu.Vp mummy, na mm naweza kuja huko pangoni?
Itakuwa ameshaenda kwa changamoto ya upumuaji.Mhhh
Atakuwa ameshaenda na Changamoto ya upumuaji.Huyu mwamba wa hii story aliishia wapi
HahahahaAnataftwa mtu apigwe hapa vibaya mnoo..mi mwenyew nishawai tapeliwa hvyo hvyo maeneo ya machimbon huko sitosahau ***** zao..mara joka kubwa linakula ndege mara mapangoni stori nyiing..mara toa elf 50 tununue dawa hii mara dawa ile..***** kuja kushtukia hzo 40..mara 60 zmefika lak4...nilishtak polisi wale watu askar walicheka sanaaa wakanambia kesi hzo zipo kama 20 hiv..nmepigwa...enz hzo ..*****..
πππππVile team roho mbaya ya konda msafi inafanya survey kuangalia wapi pa kuanzia!πππ
View attachment 1892056
Usisahau kututag chiefUzi PENDWA kwangu na Mimi nitaleta hapa
Mkuu nipe ramani nije kupiga showMzee kingalu si alishafariki? Ila huku kuna mambo mazito sana, nipo mitaa ya huko huko unapopazungumzia mkuu. Nna jambo langu. Na story za huku nazisikilizia kwa umakini, kuanzia kiloka, mkuyuni, tununguu na msitu wa kibungo..tuendelee mkuu. All in all huku kuna mali kibao, mbali na hizo ngumu kumeza ( mercury ) kuna mawe ya kutosha...
Dooooh wapogoro tenaInaendelea
Basi bwana nikamuaga shangazi naenda mlimani kufata mali na utajiri, nilivo fika mlimani nilipigwa na butwaa kuyaona maji ya mercury, nikataka kuyanywaa ile nataka kunywa tu nikasikia sauti unasema kwa kipogolo. kazopata, kazojidai, kazojenga, nilistukaaa sana.