True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Stori imebidi isitishwe tusome mipasho au ndo kusema wazamini wa kipindi..?!😅
 
Naona jamaa yako kanitumia picha zako inbox.
Nimecheka sana. (Godfather) kafikiri lbd nitashituka sana
Angejua nilipo wala asingenitumia. Nipo hapa Singida
Kuna wanyaturu na wanyiramba
Nenda kamuulize mtu yoyote kuhusu wanawake wakinyaturu na wanyiramba halafu unipe jibu.
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kinyaturu mzuri km malaika. Nikiweka picha zako na yeye. Haufiki hata robo ya uzuri wake
Ha ha ha ha ha
Singida sihami ng'oo
Wewe ndo huna kazi kulia lia uchangiwe baki tu na story yako ya kijinga humu isiyo ma kichwa wala miguu
 
Naona jamaa yako kanitumia picha zako inbox.
Nimecheka sana. (Godfather) kafikiri lbd nitashituka sana
Angejua nilipo wala asingenitumia. Nipo hapa Singida
Kuna wanyaturu na wanyiramba
Nenda kamuulize mtu yoyote kuhusu wanawake wakinyaturu na wanyiramba halafu unipe jibu.
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kinyaturu mzuri km malaika. Nikiweka picha zako na yeye. Haufiki hata robo ya uzuri wake
Ha ha ha ha ha
Singida sihami ng'oo
[emoji23][emoji23]kweli ujinga mzigo yani unaona uzinifu ni sifa mbona Hilo tendo hata mbuzi ana fanya nothing new [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana
 
Naona ni kama ile michezo ya kamari...mmoja anachezesha mwengine anakua pembeni kama mtazamaji......asipigwa mtu huu uzi sijuii
Unaweza jitengea muda hata weekend flani, ukiwa mwenyewe, morogoro sio mbali, una connect dots, kimya kimya unaenda maeneo tajwa kutembea, sio mbaya...fika mpaka hizo location ambazo zinatajwa, hakuna kizuizi, watu wanaingia na kutoka kila siku, sio kila mtu ni mpigaji, japo ukiwa mjuaji utapigwa kweli.

Ila nimeanza kuhisi kitu kwenye huu uzi, kuna namna ya uandishi inatumika hapa ni kwamba msimuliaji naye alisimuliwa, si yeye yalimkuta.
 
Naona jamaa yako kanitumia picha zako inbox.
Nimecheka sana. (Godfather) kafikiri lbd nitashituka sana
Angejua nilipo wala asingenitumia. Nipo hapa Singida
Kuna wanyaturu na wanyiramba
Nenda kamuulize mtu yoyote kuhusu wanawake wakinyaturu na wanyiramba halafu unipe jibu.
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kinyaturu mzuri km malaika. Nikiweka picha zako na yeye. Haufiki hata robo ya uzuri wake
Ha ha ha ha ha
Singida sihami ng'oo
Mkuu nakuja kukusalimia pm
 
TOZO ya mekyuri imekua nzito kuliko uzito wa ndoo yenye mekyuri
 
Back
Top Bottom