Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori imebidi isitishwe tusome mipasho au ndo kusema wazamini wa kipindi..?!😅 Matangazo kwa ufup🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ndo huna kazi kulia lia uchangiwe baki tu na story yako ya kijinga humu isiyo ma kichwa wala miguu
[emoji23][emoji23]kweli ujinga mzigo yani unaona uzinifu ni sifa mbona Hilo tendo hata mbuzi ana fanya nothing new [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sanaNaona jamaa yako kanitumia picha zako inbox.
Nimecheka sana. (Godfather) kafikiri lbd nitashituka sana
Angejua nilipo wala asingenitumia. Nipo hapa Singida
Kuna wanyaturu na wanyiramba
Nenda kamuulize mtu yoyote kuhusu wanawake wakinyaturu na wanyiramba halafu unipe jibu.
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kinyaturu mzuri km malaika. Nikiweka picha zako na yeye. Haufiki hata robo ya uzuri wake
Ha ha ha ha ha
Singida sihami ng'oo
Unaweza jitengea muda hata weekend flani, ukiwa mwenyewe, morogoro sio mbali, una connect dots, kimya kimya unaenda maeneo tajwa kutembea, sio mbaya...fika mpaka hizo location ambazo zinatajwa, hakuna kizuizi, watu wanaingia na kutoka kila siku, sio kila mtu ni mpigaji, japo ukiwa mjuaji utapigwa kweli.Naona ni kama ile michezo ya kamari...mmoja anachezesha mwengine anakua pembeni kama mtazamaji......asipigwa mtu huu uzi sijuii
Mkuu nakuja kukusalimia pmNaona jamaa yako kanitumia picha zako inbox.
Nimecheka sana. (Godfather) kafikiri lbd nitashituka sana
Angejua nilipo wala asingenitumia. Nipo hapa Singida
Kuna wanyaturu na wanyiramba
Nenda kamuulize mtu yoyote kuhusu wanawake wakinyaturu na wanyiramba halafu unipe jibu.
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kinyaturu mzuri km malaika. Nikiweka picha zako na yeye. Haufiki hata robo ya uzuri wake
Ha ha ha ha ha
Singida sihami ng'oo
Vp mummy, na mm naweza kuja huko pangoni?