True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Chilita
 
Anataftwa mtu apigwe hapa vibaya mnoo..mi mwenyew nishawai tapeliwa hvyo hvyo maeneo ya machimbon huko sitosahau ***** zao..mara joka kubwa linakula ndege mara mapangoni stori nyiing..mara toa elf 50 tununue dawa hii mara dawa ile..***** kuja kushtukia hzo 40..mara 60 zmefika lak4...nilishtak polisi wale watu askar walicheka sanaaa wakanambia kesi hzo zipo kama 20 hiv..nmepigwa...enz hzo ..*****..
 
Hapana wale wazee ni wakweli kabisa hawakuwa na nia ya kutapeli...naendelea
 
SEHEMU YA 3

Nimeombwa niendeleee japokuwa uko mbele kunatisha kidogo

Basi siku ya alhamisi nikafika kwa kuvizia vizia na kufika jioni watu wachache sana wakaanza kujikusanya. Sikutaka kuona na wafatilia bali siku ile nikaenda karibia na mlima ule na nikajificha mahala ili tu nijue formula za kupata mali.
Ilipofika saa 6 usiku kweli nikaanza kusikia sauti zikielekea mlimani na nyimbo pamoja na Ngoma. Nikathibitisha kuwa ni kweli. Formula yao ya kwanza nimeshaijua.basi sikutaka kuingilia mambo yao ni usiku mkubwa sana. Wakafanya ngoma zao kisha zikazima baada ya nusu saa wakaanza kurudi. Ilikuwa ni saa nane kasoro usiku.
Basi nikajibanza huko msituni mpaka jua likachomoza nikaenda zanu kijijini.
Saa 3 asubuhi nikaonana na mmoja wao ambaye alikuwa aliniambia mara ya kwanza nifanye subira.
Sasa akanifafanulia zaidi....
" tumeenda kuomba dawa, huku usiseme mercury utajua unafata mali, basi ukiwa na madhumuni hayo utapotea polini au kuonana na nyoka mkubwa sana wa kutisha. Huwa tunapika ngoma na kuimba kisha mzee kingalu ambaye ndiye mkuu wetu anasikiluza sauti ya bibi. Bibi huwa anasema mna shida gani? Mzee anajibu wajukuu zako wagonjwa sana tunaomba dawa, bibi anmruhusu aingie na chupa aweke na aje achukue wiki ijayo."
Anasema dawa hiyo inatoka kwa matone madogo sana na baada ya wiki tunapata kijiko kimoja tu ndio tunaruhusiwa kuchukua.

Nilifarijika sana nikapanga jinsi ya kuingia katika mapango hayo

Nitaendelea
 
Umeanza vituko na wewe,hata kitoto kichanga hakiwezi kupost part fupi hivi kama wewe yaani kama ni muvi umesimulia sehemu tu ya sterling kuweka risasi kwenye magazine
Waongo waongo hawa mimi nikiona story itaendelea tu halafu huo mwanzo ni kipisi huwa naachana nayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…