Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mind you ! walikuwa na kofia 2, hiyo ya chama ilifahamika zaidi
Kuna kitu sijaelewa hapa aliyeleta hii mada ya Kisenge kwa ID ya Hamelin ndiye Mshana?unajitahidi Kutoa historia,ila hakuwahi kuwa katibu wa chama singida,alikua RDD now days wanajulikana kama RAS
Karibu kwenye uzi wa kisengePole sana kwa kupotelewa na mzee wenu Kisenge
Inabidi tuige mfano wa Kisenge
Hata humu JF tufanye mambo Kisenge
pole..... !!! jaman tuweke heshima kwa marehemu tume joke vyakutosha mwacheni mzee huko alipomshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
Mkuu, naona habari za kisenge zinakuvutia sana!Leo nimeamua nifukue kaburi la kisenge
Hatari sanaNa mtukome..!!!
Ni kweli, hapa Morogoro ukisema unataka kwenda RDD, unapelekwa kwa Makonda wa Morogorounajitahidi Kutoa historia,ila hakuwahi kuwa katibu wa chama singida,alikua RDD now days wanajulikana kama RAS
Hata Nyerere alisisitiza tutekeleze maagizo ya kisengeMkuu, naona habari za kisenge zinakuvutia sana!
Idadi ya watoti wa kisenge au sio hahahahaaaMkuu Dragon unawajua Hebu tutajie hata 2
Enzi za kisenge hizo mkuuAise huu uzi toka mwaka a2014
Muulize jepesi akueleze pia Jina simbangufira ili story zako zikamilike!Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.
Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi..
"Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya Kisenge! Si wote mlisikia maagizo ya Kisenge? Nani hataki kutekeleza maagizo ya Kisenge? Lazima mtekeleze maagizo ya Kisenge! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya Kisenge!
RIP Mhe. Nyelwa Kisenge, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
Poleni familia..
Dr.Rodrick Kisenge,Dr.Peter KisengeMkuu Dragon unawajua Hebu tutajie hata 2