True Story: KISENGE

True Story: KISENGE

Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu.

Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.

Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi .....

" Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya Kisenge! Si wote mlisikia maagizo ya Kisenge? Nani hataki kutekeleza maagizo ya Kisenge? Lazima mtekeleze maagizo ya Kisenge! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya Kisenge!..............

RIP Mh. Nyelwa Kisenge, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
poleni familia
aisee...umekumbuka mbali...
 
Aise watu wanpenda habari za kisenge kinoma yaani ila kumwambia mkuu Wa mkoa analeta maswala ya kisenge si vzr maana kisenge alifanya vitu Kwa ufanisi mkuu makonda yupo slow hana mambo ya kisenge
 
Na ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
 
mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
Hatimaye mtoto wa kisenge umejitoza? watoto wengine wa kisenge wako wapi?
 
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc
wengine wanaiga utendaji wa kisenge
 
Dah watu wanapenda mambo ya kisenge kinoma we hiz habar watu tushazisahau mtu anatuletea tena uzi wa kisenge tuanze kuujadali m naona haya mambo ya kisenge yaishe bhna
 
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc

Pole sana kwa kupotelewa na mzee wenu Kisenge

Inabidi tuige mfano wa Kisenge
Hata humu JF tufanye mambo Kisenge
 
Back
Top Bottom