True Story: Kupenda

Hahaha aisee kuna vitu vina furahisha
 
Jamaa kashakuzidi kuwa na pisi unaempenda.
 
Mwanaume gani unaandika "jamani" acha kelele tuma mualamala hapo muulize kama amepokea akisema bado ongeza muamala wa pili muulize bado haijathibitishwa?
Sawa
Mwanaume wa kuendesha mapenzi kwa jeuri ya pesa ni mwanaume dhaifu sana.
Vocal lako kwanza lazime lipenye moyoni kwa binti.

Nguvu ya pesa ukanunulie wanaojiuza barabarani
Unasema kweli kabisa
 
Bro achana kabisa na wanawake wa kichaga wa hizo pande, ni wana roho mbaya sana na wapo kimasilahi zaidi. Tena akishajua kuwa unampenda ndiyo atakusulubu mpaka uhisi kuchanganyikiwa.
 
Chapachapa mbaya mwisho wa siku apate la kumpata [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…