True Story: Kupenda

Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure

Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan GπŸ˜‚
 
Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure

Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan GπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ilikuwaje embu nieleze kinagaubaga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ unaambatanisha miamala ?
Ingekuwa miamala yote naituma kwa cm ungeona screen shot,,, tatizo miamala mwingine natuma kwa wakala moja kwa moja kuepuka Makati makubwa,

tangu mwez wa 5 adi leo amekula Kama 300K au 400K yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…