True Story: Kupenda

Dogi wewe unajilazamishia matatizo mwenyewe yaani mvua hainyeshi wala hakuna mawingu wwwe unakazana kulima na kupanda kisa asubuhi unakuta umande
 
Wewe unapata shida kwa sababu hutaki kukubaliana na ukweli kwamba Hakupendi, pengine ni kwa sababu ya resources ambazo umeshatumia ili kumuonesha unampenda kama vile fedha. Huyo hakupendi, Face it,, na huo ndiyo ukweli.

Bro mimi naandika from experience, nilishawahi kumpenda mwanamke mchaga tena wa hukohuko Moshi uru,. wanawake wa hizo pande kama hakupendi hata ufanyaje hawezi akakuelewa, sana sana anaweza akakuchuna mpaka ukachanganyikiwa na wala haoni Huruma.

Hata kesho ukimwona amekuja inbox kwako kujiliza liza wala usimpe chance, songambelea. Na katika hii hatua anayokuonesha hivyo reality ukiendelea kumpa nafasi atakuumiza vibaya sana.

You just drop her, and you drop her fast.!!
 
Kiongozi namshukuru sana
 
Khaaa

"NAOMBA NIPENDE"

Sijaamini what this upo serious
wanapenda kudanganywa sana hawa. atafute uongo wowote tu wa kuvutia, hata wa kummilikisha ulaya yote ataingia mkenge, yaani uongo ambao wewe huna maslahi nao, ni kwa ajili yake
lakini eti naomba unipende. khaa! sasa yeye atapata nini
 
wewe naona umeamua kutuletea story ya kutunga
 
Move on bro, achana nae. Jipe muda utamsahau, pole sana
 
Rule no1.dont give them attention,they will o
Pay for attention..
 
Kwa kifupi hiyo pisi haikuelewi wala haijawahi kukuelewa. Rule number 1 : kujielezea sana kwa mwanamke ni udhaifu. 2 : kubembeleza demu ambae ameshasema ana muelewa mtu mwingine ni kuchukua mzinga wa nyuki na kupeleka chumbani kwako, kitakacho kukuta..!
Halafu mbona unajipeleka race???? Yaani unaingia WhatsApp kucheki kama yuko online?? Then hakucheki??? Huenda ndo nae ana bembeleza penzi kwa huyo mwamba piga chini. There is always green pastures somewhere else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…