True story: Mkuu wa shule alininajisi!


Nasikitika kama ulikuwa na bikra basi ilitolewa
 
Kama hiyo ni "kunajisiwa" - Then - naweza kuandika kwa uhakika kabisa - Wanawake wengi wamenajisiwa!

BTW: Hii thread tells me kwamba "Smile" ni binti ambaye hajawahi kuonana na "Gyno"...!
 
huuu ushenzi bado unaendelea usikute
na wadada na wamama wapo kiimya still
nadhani maana sidhani kama kuna shule wananunua pregnant test.method ni hiyohiyo ya kushikashika watoto
 
Harafu nilisoma post yako nilikuwa bado sijajiunga na jf kuwa ulikuwa unashangaa kuona una nywele huko chini, je ulikuwa umeshaanza kuzinyoa au walikuwa wanaangalia hivyo hivyo? basi utakuwa ulichanganyikiwa maana ulikuwa hutaki watu waone.

 
harafu nilisoma post yako nilikuwa bado sijajiunga na jf kuwa ulikuwa unashangaa kuona una nywele huko chini, je ulikuwa umeshaanza kuzinyoa au walikuwa wanaangalia hivyo hivyo? Basi utakuwa ulichanganyikiwa maana ulikuwa hutaki watu waone.
karibu jf
 

Kunajisiwa ni kuingiliwa kinyume na matakwa yako! sijaona ukielezea jinsi alivyokuingilia!
 
ona sijaona sehemu uliyonajisiwa? au mimi ndio sijui maana ya kunajisi

SI ! Nimeridhishwa na maneno yako, issue nzima haioneshi wapi unajisi umefanyika !
Labda aseme kuna mengine kayasahau kuyaandika, lakini kama ni hayahaya hata 5% ya unajisi haupo.
Nitamuelewa "Muasisi Uzi" akiondoa neno UNAJISI na instead of iwe UDHALILISHAJI hapo ndiyo nitaunga mkono hoja .
 
May be ingesomeka "Mkuu wa shule alinidhalilisha kijinsia"

Hiyo shule kiboko, sisi mkuu wa shule alikuwa mwanaume, lakini pia tulikuwa hatuletewi manurse/dr wanaume, waliokuwa wanakuja kutupima ni wanawake, matron aliingia kwenye chumba cha upimaji na walimu wa domestic science

ona sijaona sehemu uliyonajisiwa? au mimi ndio sijui maana ya kunajisi
 
Hapo hapakuwa na unajisi.Palikuwa na udhalilishaji wa kijinsia.Ulilalamika popote?
 
Pole sana mamito,
Ila huo upimaji dah!sijapata sikia au ona,
Sie pia tulikuwa tukipimwa but sio na dokta wa kiume,
Zoezi lilikuwa likisimamiwa na sister matron na manesi wa kike na hakukua na mambo ya kuvuana nguo zote, wala kugeuzana kwa kupima uti wa mgongo huyo mwalimu wenu na dokta walikuwa na hila zao tu au kuna wadada wakubwa ndio walikua lengo la kuchunguliwa!!!

Nakushauri unge edit heading kwa baadhi ya maneno badala ya kunajisiwa iwe kudhalilishwa ili kuepusha mkanganyiko unaojitokeza kwa baadhi ya wasomaji.
 
ona sijaona sehemu uliyonajisiwa? au mimi ndio sijui maana ya kunajisi

Naunga mkono hoja, maana hata mimi ndicho kilichonivutia zaidi. Kama ni kweli sio vibaya kuwataja majina wanaohusika na hiyo shule ili wengine nao wasipate kunyanyaswa kama alivyofanyiwa mtoa uzi.
 
Aiseeee!
Shikamoo babu,
Karibu tena,i missed u sn!!!
 
si ndio nitadhalilika zaidi babu?
 
Pole smile... Ndio kipindi kile ukiwa hujanyoa NANILIU kwa miaka 7? Pole sana...
 
kunajisi ninavyojua ni kufanya mapenzi isivyotakiwa ilakupimwa tu na kushikwa hizo sehemu mimi naona ni kitu cha kawaida labda kama ulikuwa hujui kuwa kuna utaratibu kama huo
Hiyo nyekundu ni sehemu tu ya maana ya (ku)najisi a.k.a kujamii(ana). Lakini pia najisi maana yake ni kutenda tendo chafu linaloweza kumkirihi mtu. Sio lazima atiwe naniliu, hata kupapasa bila ridhaa ni kunajisi, kwani humo mnamopapaswa ni tohara - safi -kwa mtazamo wa mhusika.

Kwa hivyo Smile ana haki ya kusema alinajisiwa kwa matendo hayo ya udhalilishaji.
 
thax kwa kunitetea mkuu.watu humu wanajua kuchonga tu bila sababu
 
Smile bhana, aaah! Umeniacha hoi na siredi zako. Nashukuru Mungu sikusoma shule ya ivo. Tulipimwa nadra sana na matron na manesi wa kike. Hiyo skuli kweli jameni, ama ilikuwa enzi gani hizo maana nina hakika uvumi ungesambaa hadi kwa Mkuu wa Wilaya. Bado siamini amini, Dah! Kweli hiyo najis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…