Si Smile, hao walijua wewe mtoto mtulivu sana na umekaa kama sista fulani hivi husemi kitu. Kwani ulikuwa na miaka mingapi? We ulikuwaga husimuliani na wenzako skuli mambo yanavokuwaga na mimba zinavopimwa? Wasichana husimuliana kile wanachofahamu, kama wanaogopa kuuliza kwa wakubwa. Enzi zetu hatukuwa na maongezi na wakubwa kama ilivyo leo. Lakini kizazi cha
www.com au enzi hizi za 2000 hata cartoon zinaonyesha inakuwaje. Hakukuwa hata na ka TV home? Bado mwenzio sielewi kwa kweli. Ila kwa vile ni jana tu, hao watu bado hawajastaafu wapo. Nadhani inabidi kuwachukulia hatua, hata kama ni wewe binafsi kuwa face uwaambie hukuwa ukipendezwa na matendo yao. Nadhani walikuonea sana wewe kwa vile ulionyesha dalili zote na :tape: