True story: Mkuu wa shule alininajisi!

True story: Mkuu wa shule alininajisi!

Nimeambiwa FA ni mwanaume, so I wouldn't expect much support from him.
Usichukulie kila binti.com ni mtundu, wapo ambao wamelelewa
Na hata kama they make the first move, wewe kama mtu mzima unafanyaje?
Kama ni watundu does it justify for the HM kuwakagua hivo?
Deskmate naharakia sehem kidogo lakini kama nitawahi kurudi tutaendelea. But tatizo la kinamama mara nyingi mnajivutia sana upande wenu, yule ni mtoto ndio lakini umeisoma sexual need/sexual demand ya mwanaume iko level gani na inakuwa triggered vipi?
Mpe mtoto wako elimu ili ajitambue halaf ikitokea hiyo situation aweze kuistop au kudeal nayo aftermath.
Kuna watoto wana miaka 14 tu au chini ya hapo na wanajielewa sana ukiwaona. siri ya mafanikio yao ni malezi mema
 
Deskmate! hilo suala linagusa malezi zaidi kuliko mwalim, na apa nimeona freeman Ageyman tu ndio amegusia iyo point. Hivi vitoto vya kike vya sku izi umeviona lakini? mimi nina bonge la kitambi na vimenitongoza maulidini laivu.
Hata hivyo klorokwini! katika sheria mpya ya makosa ya kujamiaana, mtu kumkonyeza tu tayari umebaka. sembuse kutomasa, kumvua nguo binti, yaani huyo makosa yote mawili ya ubakaji, na kudhalilisha.
Kwahiyo Smile yuko sawa katika maelezo yake.
 
Thanks but no thank you. Inaoyesha ni jinsi gani huamini katika wanawake kuweza kutoa mtizamo tofauti na wewe au wanawake wengine.
Not at all, kwanza napenda changamoto za wanawake wanao toa mitazamo tofauti so I can learn from them
But kuna thread niloiona wameandika hivo and you didn't object then (you were participating in the thread)
But it's fine, now we know you are not a man.
Nikuulize: Hivi wasichana kua watundu ni justification kwa 'kukaguliwa' na headmaster?
Katika mazingira ya wenyewe na dr, ha HM peke yao, bila matron
"wanaguswa hadi wengine wanazimia"? is if justified just because watoto ni watundu siku hizi?
 
dah, smile mbona unatoa siri sasa... yaani unamtolea nje jamaa hadharani hivi?
Yani hata mimi nashangaa mambo ya private yanakuja huku, afu mimi namshangaa smile simjui wala hanijui vipi nikamtongoza.

Au ndo ananipigia ngoma nikacheze naye :biggrin:
 
Yani hata mimi nashangaa mambo ya private yanakuja huku, afu mimi namshangaa smile simjui wala hanijui vipi nikamtongoza.

Au ndo ananipigia ngoma nikacheze naye :biggrin:

labda ulimpa mistari kupitia PM mzee..
 
Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solution
Ina mana hiyo shule watoto wote walikuwa dizaini ya lulu?....kweli shule nzima asijitokeze hata mmoja wa kukerwa na hiyo hali?.. No lawyer, mie bado nna mashaka na huu uzi wa smile!
 
tulikuwa tunavuliwa nguo zote dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti

hivi wale mabinti wa swaziland wanaopanuliwa miguu na kuchekiwa bikra hadharani hawana haki ya kufungua kesi kweli... maana kwa wale, hata hii issue ya kina smile inaonekana cha mtoto yaani..
 
Not at all, kwanza napenda changamoto za wanawake wanao toa mitazamo tofauti so I can learn from them
But kuna thread niloiona wameandika hivo and you didn't object then (you were participating in the thread)
But it's fine, now we know you are not a man.
Nikuulize: Hivi wasichana kua watundu ni justification kwa 'kukaguliwa' na headmaster?
Katika mazingira ya wenyewe na dr, ha HM peke yao, bila matron
"wanaguswa hadi wengine wanazimia"? is if justified just because watoto ni watundu siku hizi?

Labda sikuiona na kama niliionapia nadhani sio lazima kuiaminisha JF jinsia yangu, kama nilivyo anonymous na jinsia yangu ni anonymous. Hunijui sikujui na itabaki hivyo.

Back to topic: nadhani ni utundu sio justification ya kukaguliwa na mwanaume yeyote yule labda kama ni emergency. Hivyo basi, Smile hakujua kama anatakiwa ajitambua na wala hakujua nini haki yake kama mtoto wa kike mbele ya wanaume ambao ni walezi wake akiwa shule.

Hebu tuanze na scenario ya kuzimia, yaani upimwe hadi uzimie halafu usimweleze mzazi wako kuwa uliwahi zimia shule 'eti kwa vile tu mtoto wa kike hawezi sema yote?' Nadhani kuna tatizo katika jamii yetu na hasa upande wa malezi na tamaa za baadi ya wanaume ambalo kama halijawa addressed mapema, litatuletea matatizo zaidi huko mbele. Mimi ni katika wanaoamini kuwa adhabu pekee haijengi. We must find a sustainable way of addressing this issue.
 
Smile vipi kwenye upimaji wa bikra hamkupimwa? Mimi kipindi niko primary mabinti walikuwa wanapata shida linapokuja suala kuangaliwa kama bado ipo.
Nakumbuka nilikuwa headboy ole wake binti akutwe bikra atamtaja aliyemtoa wote wanakula stiki za maana mstarini.
 
ndiyo maana nalaani hawa watoto wadogo wanaopelekwa boding
watajuaje hata wakifanyiwa masaibu kama haya.
 
labda ulimpa mistari kupitia PM mzee..
Yeah nakumbuka nilimtumia PM afu yeye nani mpaa asitongozwe mbona hata wanawake mabaniani wanatongozwa tu na wana manywele kibaoo huko chini :biggrin:
 
ikumbukwe bf wangu ni mmasai yaan kile kitai kwenye nalilii hunizimisha kabisaaaa kama vile huwa napoteza fahamu

Ongoja nitafute mahali pakuchekea my wife asije akinikuta. Huo mtai uingiapo kunako nipe picha ya mdomo huwa unaufungua au full kung'ata meno
 
Deskmate naharakia sehem kidogo lakini kama nitawahi kurudi tutaendelea. But tatizo la kinamama mara nyingi mnajivutia sana upande wenu, yule ni mtoto ndio lakini umeisoma sexual need/sexual demand ya mwanaume iko level gani na inakuwa triggered vipi?
Mpe mtoto wako elimu ili ajitambue halaf ikitokea hiyo situation aweze kuistop au kudeal nayo aftermath.
Kuna watoto wana miaka 14 tu au chini ya hapo na wanajielewa sana ukiwaona. siri ya mafanikio yao ni malezi mema
NImeelewa na nakubaliana na hayo ulio sema.
Ila pia kumbuka personalities zinapishana
As much as ,mzazi na waalimu wanaweza kumsaidia mtoto
kujitambua, kujiamini na kuelewa what is right or wrong
Kuna watu kama kina head master ambao they hold a position of power
wanatumia hiyo power yao vibaya kwa kuwanajisi watoto
by the time mtoto anaenda kureport amesha 'kaguliwa' tayari!
 
Smile vipi kwenye upimaji wa bikra hamkupimwa? Mimi kipindi niko primary mabinti walikuwa wanapata shida linapokuja suala kuangaliwa kama bado ipo.
Nakumbuka nilikuwa headboy ole wake binti akutwe bikra atamtaja aliyemtoa wote wanakula stiki za maana mstarini.
Na wewe umeanza hadithi za uongo lini?
 
Naona unakuja na testimony kila siku, haya tunazidi kuzisubiri ila hiyo design yenu ndo naisikia leo. mimi pia nimesoma enzi hizo. Mimba tulikuwa tunapimwa na nurse siyo dr. na waalimu walikuwa hawahusiki kabisa kwenye hilo zoezi, huyo shule yenu ilikuwa kiboko
 
Hii ni true story mpendwa sio testimony lol..
 
pole sana smile but unareport hii kitu dis day and just on sport
 
kunajisi ninavyojua ni kufanya mapenzi isivyotakiwa ilakupimwa tu na kushikwa hizo sehemu mimi naona ni kitu cha kawaida labda kama ulikuwa hujui kuwa kuna utaratibu kama huo

Hakuna cha kawaida hapo, ingekubalika kama wangemruhusu matron na yeye awepo chumba cha kupimia

Huo ni uhuni wa huyo headmaster na mpambe wake daktari feki. Si ajabu kama mungeulizia ungekuta ni wa kabila moja au rafiki yake wanapiga ulabu pamoja jioni
 
Back
Top Bottom