klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Deskmate naharakia sehem kidogo lakini kama nitawahi kurudi tutaendelea. But tatizo la kinamama mara nyingi mnajivutia sana upande wenu, yule ni mtoto ndio lakini umeisoma sexual need/sexual demand ya mwanaume iko level gani na inakuwa triggered vipi?Nimeambiwa FA ni mwanaume, so I wouldn't expect much support from him.
Usichukulie kila binti.com ni mtundu, wapo ambao wamelelewa
Na hata kama they make the first move, wewe kama mtu mzima unafanyaje?
Kama ni watundu does it justify for the HM kuwakagua hivo?
Mpe mtoto wako elimu ili ajitambue halaf ikitokea hiyo situation aweze kuistop au kudeal nayo aftermath.
Kuna watoto wana miaka 14 tu au chini ya hapo na wanajielewa sana ukiwaona. siri ya mafanikio yao ni malezi mema