True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Acha zengwe kaka! Clepatina uliniharibia na huku tena unaharibu pia😂😂😂😂 niachie mama tamuuu huyo ni wangu tuu😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro tumia kiswahili tu unaharibu lugha za watu

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mzee hicho unachokisema ingekuwa kweli basi ule Uzi wa jamaa wa Mafinga asingeleta hapa inamaana wale jamaa wa Mafinga walikua wanakulana kivingine?

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
dah noma sana asee pole sana,mi ilinitokeaga wakati na mpima mtu mabara sikuvaa grovus na kwenye mkono nilikuwa na kidonda, na kumbuka mgonjwa yule alibakia kama msumali amedhoofika kweli ,nilikuwa na mpima typhoid kwa tile method sa wakati na zungusha kipimo kile zile damu za kwenye kipimo zikadondokea kwenye kidonda changu tena nyingi kweli. aisee nili changanyikiwa nilipewa pep but lakini nikawa sijiamini, nikaanza kukonda kwa mawazo nikawa kama mwathirika watu wakaanza tech ndo bas tena. dah na mshukuru mungu mungu niko poa na wadudu sina, tuweni makini kwani kupata waya ni ajali kama ajali nyingine, kingine mkuu acha mawazo kwani mawazo yana athali kubwa kwa afya yako.kingine wadau mwanamke akikukataa shukuru usinungunike na kujiona mwenye mikosi,shukuru mungu huenda amekuepusha kupata majanga kama haya.
 
Mfalme_wa_Nyika usiwe na mawazo jifanye umesahau/pretend nothng happened yaani idanganye tu nafsi yako hamna kitu kimetokea

Pia sidhani ka utakua unao maana umepima uko negative i think baada ya miezi mitatu utakua tu okei usijali

UKIMWI upo sana tu endelea kuchukua tahadhari hio ni njia aliyoitumia MUNGU kukuonya next time uwe mwangalifu n umshukurusana kwa kulipangua lililokua limepangwa na shetani

Next, Nenda kazini usiwe mtoro, concebtrate na masomo yako umalize na passmark nzuri


Assume its like other challenge and you WIN, Keep your head high and be strong
 
Najua unanitania 😂😂😂😂 pale UDSM kwani huwa unaenda kutembea😂😂😂😂 hivi umebakisha mdaa gani kumaliza mama tamuuu ili tuanze mipango ya maisha na ndoa kwa ujumla😂😂😂😂
Kwani mashoga nao wanaolewa au kuzaa siku hizi? Na vile anus haina fluid secreting glands za kutoa ute ute wa kulainisha, basi sina shaka huyo cocastic alishaungua kitambo sn.
 
Acha zengwe kaka! Clepatina uliniharibia na huku tena unaharibu pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niachie mama tamuuu huyo ni wangu tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwangu hawezi kuharibuuu, nakupendaaa mchaga wanguu, afu wale mbwa watoto nimewamic kuwaona tenaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mashoga nao wanaolewa au kuzaa siku hizi? Na vile anus haina fluid secreting glands za kutoa ute ute wa kulainisha, basi sina shaka huyo cocastic alishaungua kitambo sn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaungua wee kwani, mie utaniachaaa, km wee unalo hilo dubwana pambana nalo huko uliko litoaa poleee sanaaa.
 
US AID imeongezewa bajeti kwa afrika na Tanzania nazan huna haja ya kuwaza sana dawa za HIV zipo za kutosha na vituo vya afya ndo km ivyo vpo kibao kla kata kla wilaya kla mkoa dawa unachukulia popote

Afu pia ayo ndo madhara ya kutumia nafasi zenu vby unapesa unakazi nzuri ila bado unafanya mapenzi ya kizembe

Tumia kinga utakufa mapema ushindwe kuenjoy mafanikio yako uliyoyapigania miaka na miaka
 
Muite baba laana maana kageuza anus kuwa sehemu ya kupata sexual satisfaction badala ya kutumia penis yake
Sasa mbna unaumia wee? Mapenzi yetuu yana kutesa sanaa?? Relaaaaaaaxxxxx

Tumependanaa wenyeweee, vidudu mtuu hamna nafasiiii poleeeeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…