True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Imagine kuna watu humu ndani wanakula anus ya mwanafunzi cocastic bila kondom. Nawaonea huruma sana wao na vizazi vyao. Wewe shetani cocastic acha kuharibu maisha ya watu na vizazi vyao kwa sababu ya tamaa zako za kijinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka hao watu wale anus yakoo wee? Km hawakutakiiii??
Badala huruma ujionee wee mwenyewee na uzao wako, unahangaika na wasio kuhusuuu.

Poleeee wee mtakatifuu uchwaraaaa, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu jf wanaume wote wanapiga bao SAA nzima ..huwa nacheka sana.
 
Dah! Broh....Iweje unaumia wewe wakati that’s private & personal life, Nikusihi angalia mishe zako haya maisha hayana limits kabisa usimpangie mwenzio furaha yake....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteee babaa tamuuu [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nakupendaaa mileleee [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]

Umemalizaaa kabisaaa. [emoji3590][emoji3590]
 
Hofu ni nouma acha.Nilipita sehemu moja ule mtaa baadq ya week naskia jamaa anasema demu ana virus nyie apo api nikaanza kuona symptoms tumbo ,kuchoka,jasho usiku ,uzito kupungu ,vipele daaaa ilikuwa nouma .ikanichukua miezi 6 kuexpirience ivi nikiwa nao itakuwaje nikaja kugundua watu ni wengi wana virus ila wapi very strong kiafya nikajipa nikajilipua direct kabisa kwenye maabara maana ivi vya mtaani vinazingua .majibu yakatoka negative .
Nilijifunza
Virus sio hukumu ya kifo
Unaweza ukawa na virus ila kweny kipimo kikasoma negative
Window period (muhimu sana hii)
Macho hayapimi virus

Tumieni ndomu
 
Kwenye mitandao watu ni waongo sana au tuseme labda wapo kwenye kujitangazia biashara.
 
Bado hatuna uhakika kama alikuwa anajua hali yake ya afya
 
Tatizo lako lipo hapo..
Ukiwa na tabia ya kupeleka moto saa nzima nonstop, tena cha kwanza, maana'ake upo hatarini kuondoka na moto kama manzi anao kwa sababu hata kondomu itabuma..

Ila kwa kesi hii ya Janeth upo salama maana uliwahi hizo tembe.
 
Nimeandika kuvutia wale wanaopenda kusoma ila kwa kuwa wewe mtanzania halisi usichoshwe fanya yako
Vitoto vya siku hizi vimelemazwa na movie.
Enzi zile za novels, kitabu kikubwa almost kama Biblia unamaliza kwa siku 2 au 3, na unaanza kingine!
 
Mzee hicho unachokisema ingekuwa kweli basi ule Uzi wa jamaa wa Mafinga asingeleta hapa inamaana wale jamaa wa Mafinga walikua wanakulana kivingine?

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Sir.
Hatari nyingi zipo midomoni na vichwani mwa watu tu.

Siku nimegundua kwamba ni asilimia ishirini tu ya nyoka ndio wenye sumu nilishangaa sana. Da'Vinci atakusaidia zaidi. Ni kwambaa kati ya nyoka kumi ni wawili tu ndo wenye sumu kweli!!

Kuhusu risk za UKIMWI ni kweli, almost sure ni kuongezewa damu tu. Ila nyingine zote tafiti zinasema vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…