True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Hahaha mimi pia group yangu ya damu ni 0+ , ila jamaa siguigi
 
We jamaa na kiingereza bubu chako unabwata bwata kama Janeth bana
 
Asante mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba tamuuu atakuwepo wakati wa kuapaa pale altareni.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kama namuona vile baba tamu akifunua shela kumkisi wife wake mbele ya paroko🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear jomoneeee, watoto tuta adopt, sayansi imerahisisha mamboo etii.
ooh so cute🀩
Hivi kumbe kuadopt watoto ni mambo ya kisayansi eeh?🀣
Hongeren sana Mr and Mrs tamuu🀣🀣
 
Dogo watu tuna mambo mengi ya kufanya we kufa usituchoshe na uzi mrefu
 
Zinaa ,ngono zembe haijawai kumuacha mtu salama hata siku Moja.

Brother hiyo ni wake up call kwako ,hurakiwi kurudia ujinga huo tena
.
Tafuta mke oa ,kujifanya kibolo dinda matokeo yake unakufa na presha na kisukari
 
Ndiwooooo ndiwooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ooh so cute[emoji2956]
Hivi kumbe kuadopt watoto ni mambo ya kisayansi eeh?[emoji1787]
Hongeren sana Mr and Mrs tamuu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii
 
Acha wenge mm niliguza tu nyapu ya mwenye HIV ila Cha Moto nilikionaa mm
 
Japokuwa mtoa mada uzi wako una harufu ya kokoa kwa mbali, lakini yote kwa yote hauna kilio msiba wa kujitakiaπŸ˜‚
# Fade away or die slowly like a cigarette, wacha kulia lia.
 
Hapo utata ni kuwajua hao nyoka wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…